Tofauti kati ya marekesbisho "Mkoa wa Dodoma"

Jump to navigation Jump to search
11 bytes removed ,  miaka 14 iliyopita
no edit summary
d (robot Adding: de:Dodoma (Region))
'''Mkoa wa Dodoma''' uko katikati ya Tanzania umepakana na mikoa ya [[Manyara]], [[Morogoro]], [[Iringa]] na [[Singida]]. Sehemu kubwa ya eneo lake ni nyanda za juu kati ya mita 830 hadi 2000 juu ya [[UB]].
 
Eneo lote la mkoa lina 41,310 km². Kuna wilaya tano zifuatazo:
 
{| {{jedwalimaridadi}}
{| border="1" style="width:45%;"
|-----
|colspan="4" align="center" bgcolor="#FFA500" | '''Wilaya za Mkoa wa Dodoma'''
Mawasiliano ni mazuri kwa barabara ya lami kuanzia Dodoma mjini kwenda [[Morogoro]] - [[Daressalaam]], barabara zingine ni za udongo to pamoja na njia kuu kuelekea Tanzania ya Magharibi - [[Rwanda]] - [[Kongo]]. Pia hali ya barabara ya kale ya "Cape - Cairo" inayovuka Dodoma kutoka kazkazini ([[Arusha]] - Kondoa) kwenda kusini si nzuri tena. Kuna pia njia ya [[Reli ya Kati]] kutoka Daressalaam kwenda [[Kigoma]] yenye matatizo ya mara kwa mara. Dodoma mjini kuna uwanja wa kitaifa wa ndege.
 
==Hali ya Hewahewa na Kilimokilimo==
Kwa jumla Dodoma haina mvua nyingi isipokuwa sehemu za wilaya za Mpwapwa na Kondoa. Hivyo hasa mazao yasiyotegemea sana mvua hulimwa kama vile [[mtama]], [[wimbi]], [[muhogo]]; kilimo cha [[mahindi]] hupatikana mara kwa mara na matatizo ya kukosa mvua. Mazao ya sokoni ni [[karanga]] [[alizeti]] na simsim. Dodoma ni pia mwanzo wa ustawishaji wa mizabibu na uzalishaji wa [[divai]] katika Tanzania.
 
==Wakazi na utamaduni==
Idadi kubwa ya wakazi asilia ni [[Wagogo]]. Kondoa kuna Wangulu na pia [[Wasandawe]] wanaotumia lugha ya aina ya [[Khoikhoi]]. Wanasemekana ya kwamba babu zao wamewahi kukaa eneo la Tanzania kabla ya kuingia kwa Wabantu. Kondoa kuna pia sehemu penye michoro ya kale juu ya uso ya miamba ya aina ya Khoikhoi inayofanana na sanaa ya kale huko [[Zimbabwe]] au [[Afrika Kusini]].
 
{{Mikoa ya Tanzania}}
 

Urambazaji

Maeneo ya wiki

Vibadala