Djimon Hounsou : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.7.3) (Roboti: Imeongeza simple:Djimon Hounsou
d r2.7.3) (Robot: Modifying ko:디몬 하운수 to ko:자이먼 혼수
Mstari 72: Mstari 72:
[[it:Djimon Hounsou]]
[[it:Djimon Hounsou]]
[[ja:ジャイモン・フンスー]]
[[ja:ジャイモン・フンスー]]
[[ko:디몬 하운수]]
[[ko:자이먼 혼수]]
[[lmo:Djimon Hounsou]]
[[lmo:Djimon Hounsou]]
[[nl:Djimon Hounsou]]
[[nl:Djimon Hounsou]]

Pitio la 07:26, 8 Januari 2013

Djimon Hounsou
Jina la kuzaliwa Djimon Gaston Hounsou
Alizaliwa 24 Aprili, 1964
Cotonou, Benin
Kazi yake Mwigizaji
Mwanamitindo
Dansa

Djimon Gaston Hounsou (amezaliwa tar. 24 Aprili, 1964) ni mshindi wa Tuzo ya Academy akiwa kama mwigizaji bora filamu, dansa na mwanamitndo wa kiume kutoka nchini Benin. Huenda akawa anafahamika zaidi kwa jina la Solomon Vandy kutoka katika filamu ya Blood Diamond alioyocheza na nyota Leonardo DiCaprio, vilevile Juba kutoka katika filamu ya Gladiator aliyocheza na nyota Russell Crowe.

Filamu alizocheza Djimon Hounsou

  • Without You I’m Nothing (1990)
  • Unlawful Entry (1992)
  • Stargate (1994) (as "Djimon")
  • The Small Hours (1997)
  • Amistad (1997)
  • Ill Gotten Gains (1997)
  • Deep Rising (1998)
  • Gladiator (2000)
  • The Middle Passage (2000) (documentary)
  • The Tag (2001)
  • Dead Weight (2002)
  • The Four Feathers (2002)
  • In America (2002)
  • Heroes (2002) (short subject)
  • Biker Boyz (2003)
  • Lara Croft Tomb Raider: The Cradle of Life (2003)
  • Alias (2004) (season 3, Mr Bomani)
  • Blueberry (2004)
  • Constantine (2005)
  • Beauty Shop (2005)
  • The Island (2005)
  • Blood Diamond (2006)
  • Eragon (2006)
  • Never Back Down (2008)
  • Push (2008)

Filamu zijazo

  • The Trunk (2007)
  • God of War (Haijakamilka bado) (2008)
  • Constantine 2 (2009)

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Djimon Hounsou kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.