Paul Ehrlich : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d robot Modifying: zh:保罗·埃尔利希
Mstari 35: Mstari 35:
[[tr:Paul Ehrlich]]
[[tr:Paul Ehrlich]]
[[uk:Пауль Ерліх]]
[[uk:Пауль Ерліх]]
[[zh:保·埃利]]
[[zh:保·埃]]

Pitio la 07:18, 23 Oktoba 2007

Paul Ehrlich

Paul Ehrlich (14 Machi, 185420 Agosti, 1915) alikuwa daktari na mwanakemia kutoka nchi ya Ujerumani. Pamoja na Sahachiro Hata aligundua dawa ya kutibu kaswende. Mwaka wa 1908, pamoja na Ilya Mechnikov alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.