Bandari : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
kusafisha
Mstari 42: Mstari 42:
{{mbegu-uchumi}
{{mbegu-uchumi}


[[MELI]]

*Safimarine
*P&O
*ACL


[[Jamii:Usafiri wa maji]]
[[Jamii:Usafiri wa maji]]

Pitio la 09:14, 4 Januari 2013

Mabandari makubwa ya dunia
Kwenye bandari ya Singapur
Bandari ya Hamburg huwa na winchi za upakizaji za kisasa kabisa

Bandari ni nafasi ya kupokea meli na kuhamisha mizigo yao pamoja na abiria. Bandari inatakiwa kuipa meli kinga dhidi ya mawimbi makubwa na vifaa ya kupakiza au kutoa mizigo. Kuna mabandari asilia na mabandari yaliyotengenezwa kwa kusudi hii. Kwa jumla bandari ni sehemu muhimu za miundombinu wa nchi.

Mabandari hutengenezwa kando la bahari, maziwa au mito.

Kati ya sifa muhimu kwa ajili ya bandari ni

  • kina cha maji cha kutosha kulingana na ukubwa wa meli zinazoitumia.
  • mitambo kama winchi za upakizi
  • nafasi za ghala
  • njia za usafiri kama reli na barabara za kusafirisha mizigo

Mabandari hutofautiana kulingana na kusudi lao na aina za mizigo inayoshughulikiwa humo.

Mabandari madogo zinahudumia wavuvi au jahazi za burudani.

Kuna mabandari yanayopokea mizigo ya kila aina kama bandari ya Dar es Salaam au Mombasa.

Mara nyingi kuna mabandari yanayoshughulika mizigo maalumu kama mafuta, kontena, kivuko na kadhalika.

Mabandari yanayoshughulika mizigo mingi duniani

(mizigo kwa mwaka tani milioni)

  1. Shanghai (Jamhuri ya Watu wa China) 537,0
  2. Singapur 448,2
  3. Rotterdam (Uholanzi) 378,2
  4. Ningbo (Jamhuri ya Watu wa China) 300,0
  5. Guangzhou (Jamhuri ya Watu wa China) 300,0
  6. Tianjin (Jamhuri ya Watu wa China) 255,0
  7. Hong Kong (Jamhuri ya Watu wa China) 238,0
  8. Nagoya (Japani) 206,0
  9. Qingdao (Jamhuri ya Watu wa China) 200,0
  10. Dalian (Jamhuri ya Watu wa China) 200,0
  11. Antwerpen (Ubelgiji) 167,4
  12. Los Angeles (USA) 162,1 (2005)
  13. Durban (RSA) 104,8
  14. Mombasa (EACU) 100,2
  15. Port Suez (Misri) 80,2
  16. Abidjan (Cote d'Ivoire) 50,6

{{mbegu-uchumi}