Mnyama : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d Roboti: Imeondoa: diq:Heywani (deleted)
d r2.7.3) (Roboti: Imeondoa: uz:Xayvonlar
Mstari 187: Mstari 187:
[[uk:Тварини]]
[[uk:Тварини]]
[[ur:جانور]]
[[ur:جانور]]
[[uz:Xayvonlar]]
[[ve:Phukha]]
[[ve:Phukha]]
[[vi:Động vật]]
[[vi:Động vật]]

Pitio la 20:23, 2 Januari 2013

Wanyama mbalimbali

Wanyama ni viumbehai wasio mmea. Jina la kisanyasi ni animalia.

Hawapati chakula chao kupitia usanisinuru (nishati ya jua) lakini kutoka kwa viumbehai vingine ama wanyama wengine au mimea. Wanyama wanahitaji oksijeni kwa kupumua.

Wanyama walio wengi hutembea yaani hubadilisha mahali wanapokaa kwa hiyo wanahitaji milango ya maarifa.

Sayansi ya wanyama huitwa zoolojia.

Wala mimea huitwa herbivori na wala nyama huitwa karnivori. Kuna pia wanyama wanaoitwa omnivori yaani wanakula kila kitu ama mimea au wanyama wengine.

Aina za wanyama ni nyingi sana. Mara nyingi aina zao zinatofautishwa kama ni wanyama wenye seli nyingi (metazoa) au seli moja (protozoa) tu.

Kuna wanyama wanaoishi pekee yao, katika vikundi na jamii. Mfano wa wanyama wanaoishi pekee yao ni kifaru au nyoka. Wanajumuika kwa tendo la kuzaa pekee. Mfano wa wanyama wa jumuiya ni simba wanaokaa na kuvinda pamoja. Ishirikiano unasaidia kupata chakula bora. Mfano wa wanyama katika jamii ni nyuki na wadudu wengine.

Kibiolojia hata binadamu ni mnyama kimaumbile ahesabiwa kati ya mamalia.


Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mnyama kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mnyama kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.