Hija : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d Roboti: Imeongeza lv:Svētceļojums |
d r2.7.3) (Roboti: Imeongeza et, he, li, nrm |
||
Mstari 25: | Mstari 25: | ||
[[eo:Pilgrimado]] |
[[eo:Pilgrimado]] |
||
[[es:Peregrinación]] |
[[es:Peregrinación]] |
||
[[et:Palverännak]] |
|||
[[fa:زیارت]] |
[[fa:زیارت]] |
||
[[fi:Pyhiinvaellus]] |
[[fi:Pyhiinvaellus]] |
||
[[fr:Pèlerinage]] |
[[fr:Pèlerinage]] |
||
[[fy:Beafeart]] |
[[fy:Beafeart]] |
||
[[he:עלייה לרגל]] |
|||
[[hi:तीर्थ]] |
[[hi:तीर्थ]] |
||
[[hr:Hodočašće]] |
[[hr:Hodočašće]] |
||
Mstari 40: | Mstari 42: | ||
[[ko:순례]] |
[[ko:순례]] |
||
[[la:Peregrinatio (religio)]] |
[[la:Peregrinatio (religio)]] |
||
[[li:Baevaart]] |
|||
[[lt:Piligriminė kelionė]] |
[[lt:Piligriminė kelionė]] |
||
[[lv:Svētceļojums]] |
[[lv:Svētceļojums]] |
||
[[nl:Bedevaart]] |
[[nl:Bedevaart]] |
||
[[nrm:Pèlerinnage]] |
|||
[[pl:Pielgrzymka]] |
[[pl:Pielgrzymka]] |
||
[[pt:Peregrinação]] |
[[pt:Peregrinação]] |
Pitio la 16:50, 2 Januari 2013
Hija ni safari inayofanyika kwa sababu ya dini, ikilenga patakatifu fulani.
Kwa maana ya kiroho, maisha yote ni safari ya kumuelekea Mungu au uzima wa milele n.k.
Desturi ya kuhiji iko katika dini mbalimbali.
- Wakristo hasa wa madhehebu ya Kiorthodoksi na Katoliki wanajua hija kwenda Yerusalemu, Roma na mahali pengine.
- Waislamu huwa na hajj kutembelea Makka, Washia wanatembela pia makaburi ya maimamu yao huko Najaf, Karbala, Mashhad na penginepo. Mwislamu aliyetimiza safari hii anapokea cheo cha "alhaji" kama sehemu ya jina lake.
- Wahindu huhiji mahali pengi hasa mji wa Benares na mto Ganges
Kiasili neno "hija" ilimaanisha pekee safari ya Waislamu kwenda Makka kwa saababu katika utamaduni wa Waswahili hili lilikuwa safari ya kidini pekee yenye jina maalumu. Lakini Wakristo wamepokea neno hili pia kwa safari zao za kiroho na siku hizi inatumiwa kwa kutaja safari za aina hii kwa jumlakati ya dini zote.