Michael Douglas : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.7.3) (Roboti: Imeongeza arz:مايكل دوجلاس
Mstari 146: Mstari 146:
[[an:Michael Douglas]]
[[an:Michael Douglas]]
[[ar:مايكل دوغلاس]]
[[ar:مايكل دوغلاس]]
[[arz:مايكل دوجلاس]]
[[az:Maykl Duqlas]]
[[az:Maykl Duqlas]]
[[be:Майкл Дуглас]]
[[be:Майкл Дуглас]]

Pitio la 15:36, 2 Januari 2013

Michael Douglas
Michael Douglas
Michael Douglas
Jina la kuzaliwa Michael Kirk Douglas
Alizaliwa 25 Septemba, 1944
Marekani
Kazi yake Mwigizaji
Mtayarishaji
Ndoa Diandra Luker (1977-2000)

Catherine Zeta Jones (2000-)

Watoto 3, akiwemo na Cameron Douglas
Wazazi Kirk Douglas
Diana Dill

Michael Kirk Douglas (amezaliwa tar. 25 Septemba, 1944) ni mwigizaji na mtayarishaji filamu wa Kimarekani. Douglas alianza kufahamika zaidi baada ya kuigiza kama Insp. Steve Keller kutoka katika tamthilia ya Streets of San Francisco iliyokuwa inaonyeshwa katika miaka ya 1970. Douglas, baadae akaja kuwa miongoni mwa waigizaji filamu wakubwa kabisa duniani na akabahatika kushinda tuzo ya Academy mnamo mwaka wa 1987 kwa kuigiza filamu ya Wall Street kama mwigizaji bora wa filamu hiyo.

Vilevile Douglas amewahi kuigiza mafilamu mengi tu yenye mafanikio makubwa kabisa. Filamu hizo kama vile Fatal Attraction na Basic Instinct. Douglas ni mtoto wa gwiji la uigizaji duniani bwana Kirk Douglas, na ni mume wa mwigizaji mashughuri Bi. Catherine Zeta-Jones.

Maisha ya awali

Filamu alizoigiza

Mwaka Jina la filamu Jina alilotumia Maelezo
1966 Cast a Giant Shadow Jeep driver sehemu ndogo
1969 Hail, Hero! Carl Dixon
1970 Adam at Six A.M. Adam Gaines
1971 Summertree Jerry
1972 Napoleon and Samantha Danny
1975 One Flew Over the Cuckoo's Nest Producer (Academy Award)
1978 Coma Dr. Mark Bellows
1979 Running Michael Andropolis
The China Syndrome Richard Adams (mwigizaji/mtayarishaji)
1980 It's My Turn Ben Lewin
1983 The Star Chamber Superior Court Judge Steven R. Hardin
1984 Romancing the Stone Jack Colton (mwigizaji/mtayarishaji)
1985 A Chorus Line Zach
The Jewel of the Nile Jack Colton (mwigizaji/mtayarishaji)
1987 Wall Street Gordon Gekko Tuzo ya Academy kwa ajili ya mwigizaji bora wa filmu
Fatal Attraction Dan Gallagher
1989 The War of the Roses Oliver Rose
Black Rain Det. Sgt. Nick Conklin
1992 Basic Instinct Nick Curran
Shining Through Ed Leland
Oliver Stone: Inside Out Yeye mwenyewe ( hadithi za maisha)
1993 Falling Down William "D-Fens" Foster
1994 Disclosure Tom Sanders
1995 The American President President Andrew Shepherd
1996 The Ghost and the Darkness Charles Remington (mwigizaji/mtayarishaji mkuu)
1997 The Game Nicholas van Orton
1998 A Perfect Murder Steven Taylor
1999 One Day in September Narrator ( hadithi za maisha)
Get Bruce Yeye mwenyewe ( hadithi za maisha)
2000 Traffic Robert Wakefield
Wonder Boys Professor Grady Tripp
2001 Don't Say a Word Dr. Nathan R. Conrad
In Search of Peace Narrator ( hadithi za maisha)
One Night at McCool's Mr. Burmeister (mwigizaji/mtayarishaji)
2003 The In-Laws Steve Tobias
It Runs in the Family Alex Gromberg
Direct Order Narrator ( hadithi za maisha)
2004 The Beautiful Country Man on TV Footage from Wall Street.
Tell Them Who You Are Yeye mwenyewe ( hadithi za maisha)
2006 Racing the Monsoon Halijulikani (ishatangazwa)(mtayarishaji mshiriki)
You, Me and Dupree Mr. Thompson
The Sentinel Pete Garrison (mwigizaji/mtayarishaji)
2007 The Mechanic Kevin Bishop (ishatangazwa)
The Ride Down Mt. Morgan Lyman Felt (inamaliziwa)
Smoke & Mirrors Jean Robert-Houdin (ishatangazwa)
King of California Charlie (wanaunda kasha yake)
Money Never Sleeps Gordon Gekko (iko katika matengezo)

Marejeo

  1. http://fr.jpost.com/servlet/Satellite?cid=1164881875567&pagename=JPost/JPArticle/ShowFull
  2. http://www.conovergenealogy.com/Pages/douglas.html
  3. http://www.iffkv.cz/?m=32&sub=2&year=1998

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons