Ugiriki ya Kale : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Mstari 15: Mstari 15:
[[af:Antieke Griekeland]]
[[af:Antieke Griekeland]]
[[an:Antiga Grecia]]
[[an:Antiga Grecia]]
[[ar:حقبة هيلينية]]
[[ar:اليونان القديمة]]
[[arz:اليونان القديمه]]
[[arz:اليونان القديمه]]
[[az:Qədim Yunanıstan]]
[[az:Qədim Yunanıstan]]

Pitio la 15:51, 1 Januari 2013

Ugiriki ya Kale ni kipindi katika historia ambapo Ugiriki ulipanuka katika eneo kubwa la Mediteraneo na Bahari Nyeusi, na kudumu kwa karibu milenia moja, hadi Ukristo ulipoanza.

Unadhaniwa na wanahistoria wengi kuwa ni utamaduni anzilishi wa ustaarabu wa Magharibi. Utamaduni wa Kigiriki ulikuwa na nguvu kubwa ya ushawishi katika Dola la Roma, ambalo lilibeba sehemu ya utamaduni huo katika sehemu nyingi za Ulaya.

Ustaarabu wa Ugiriki ya kale umeathiri pia lugha, siasa, mifumo ya elimu, falsafa, sayansi, sanaa, ufundi sanifu wa dunia ya kisasa, na kuchochea Mwamko Mpya katika Ulaya Magharibi; na kuchipuka tena katika vipindi mbalimbali vya uamsho wa tamaduni za kisasa za Kigiriki, ndani ya karne ya 18 na ya 19 katika Ulaya na Amerika.

Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA