Vumatiti : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
d r2.7.3) (Roboti: Imeongeza fr:Butor (oiseau)
Mstari 67: Mstari 67:
[[en:Bittern]]
[[en:Bittern]]
[[fa:بوتیمار]]
[[fa:بوتیمار]]
[[fr:Butor (oiseau)]]
[[ga:Bonnán]]
[[ga:Bonnán]]
[[hr:Botaurinae]]
[[hr:Botaurinae]]

Pitio la 17:19, 29 Desemba 2012

Vumatiti
Vumatiti mdogo
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Aves (Ndege)
Oda: Pelecaniformes (Ndege kama makorongo)
Familia: Ardeidae (Ndege walio na mnasaba na koikoi)
Jenasi: Botaurus Stephens, 1819

Ixobrychus Billberg, 1828
Tigriornis Sharpe, 1895
Tigrisoma Swainson, 1827
Zonerodius Salvadori, 1882

Spishi: Angalia katiba

Vumatiti ni ndege wakubwa wa nusufamilia Botaurinae na Tigrisomatinae katika familia ya Ardeidae wenye domo refu na nyembamba lakini shingo fupi kuliko spishi nyingine za familia hii. Hupinda shingo yao wakiruka angani. Ndege hawa wana rangi nyeupe, nyeusi na kahawia. Vumatiti hula samaki, amfibia na wadudu wa maji. Hizi ni spishi zinazojificha ndani ya uoto. Hujenga matago yao kwa matawi juu ya( miti au) matete. Hata matago yamefichika kwa kawaida.

Spishi za Afrika

Spishi za mabara mengine

Picha