Uhindi : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
d r2.7.3) (Robot: Modifying lez:Гьиндистан to lez:Индия
Mstari 208: Mstari 208:
[[lb:Indien]]
[[lb:Indien]]
[[lbe:Гьиндусттан]]
[[lbe:Гьиндусттан]]
[[lez:Гьиндистан]]
[[lez:Индия]]
[[li:India]]
[[li:India]]
[[lij:India]]
[[lij:India]]

Pitio la 20:09, 27 Desemba 2012

Uhindi

Uhindi (pia: India) ni nchi katika bara la Asia. Ni nchi ya kidemokrasia kubwa duniani. Kufuatana na idadi ya wakazi ni nchi ya pili duniani baada ya [China]. Kufuatana na eneo ina nafasi ya saba duniani. Imepakana na Pakistan, China, Nepal, Bhutan, Bangladesh na Myanmar. Mji mkuu ni New Delhi.

Wakazi walio wengi (80 %) hufuata dini ya Uhindu. Takriban 13 %- 14 % ni Waislamu; hivyo Waislamu wa Uhindi ni jumuiya ya pili katika dunia ya kiislamu baada ya waislamu wa Indonesia. Dini nyingine ni Ukristo, Usikh, Ubuddha na Ujain.

Lugha ya kitaifa ni Kihindi ambacho ni lugha ya Kihindi-Kiulaya. Kiingereza hutumiwa kama lugha ya kiutawala ya kitaifa pia kwenye ngazi ya majimbo. Kuna lugha 21 kubwa na lugha nyingi zisizo na wasemaji wengi sana. Katika kusini ya Uhindi watu husema lugha kama Kikannada, Kitelugu, Kitamil na Kimalayalam. Katika kaskazini husema hasa Kipunjabi, Kibengali, Kigujarati na Kimarathi.

Kiutawala Uhindi ni shirikisho la jamhuri lenye majimbo ya kujitawala 28 pamoja na maeneo ya shirikisho 7.

Historia

:tazama pia: Uhindi wa Kiingereza


Tazama pia

Viungo vya Nje


Nchi na maeneo ya Asia

Afghanistan | Armenia2 | Azerbaijan | Bahrain | Bangladesh | Bhutan | Brunei | China | Falme za Kiarabu | Georgia2 | Hong Kong3 | Indonesia | Iraq | Israel | Jamhuri ya China (Taiwan) | Japani | Kamboja | Kazakhstan | Kirgizia | Korea Kaskazini | Korea Kusini | Kupro2 | Kuwait | Laos | Lebanoni | Macau3 | Malaysia | Maldivi | Mongolia | Myanmar | Nepal | Omani | Pakistan | Palestina | Qatar | Saudia | Singapuri | Sri Lanka | Syria | Tajikistan | Timor ya Mashariki | Turkmenistan | Uajemi | Ufilipino | Uhindi | Urusi1 | Uthai | Uturuki1 | Uzbekistan | Vietnam | Yemen | Yordani

1. Nchi ina maeneo katika Asia na Ulaya. 2. Nchi iko Asia lakini inahesabiwa pia kati ya nchi za Ulaya kwa sababu za historia au utamaduni. 3. Eneo la pekee la China.


Makala hii kuhusu maeneo ya Uhindi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Uhindi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA