Kodata : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.7.3) (Roboti: Imeondoa: diq:Xordayıni
d r2.6.2) (Robot: Modifying li:Chordata to li:Chordabieste
Mstari 81: Mstari 81:
[[la:Chordata]]
[[la:Chordata]]
[[lb:Chordadéieren]]
[[lb:Chordadéieren]]
[[li:Chordata]]
[[li:Chordabieste]]
[[lij:Chordata]]
[[lij:Chordata]]
[[lt:Chordiniai]]
[[lt:Chordiniai]]

Pitio la 23:23, 22 Desemba 2012

Kodata (Chordata)
Muundo wa chordata ukionyeshwa kwa samaki mdogo
Muundo wa chordata ukionyeshwa kwa samaki mdogo
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia
Faila: Chordata

Kodata (Chordata) ni kundi kubwa wa wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni.

Ugwe unaunaganisha neva ambazo ni muhimu kwa mwili kwa jumla na neva za kila sehemu au kiungo zinatoka hapa. Ugwe wa neva unaenda sambamba na mhimili wa seli ambazo ni imara zaidi ama gegedu au mfupa.

Mhimili huu ni chanzo cha uti wa mgongo kwa wanyama wengi wa kundi hili na kiunzi cha mifupa cha ndani ya mwili. Kodata waliendelea kutoka kwa wanyama wengine kama arthropoda wenye kiunzi cha nje.

Katika uainishaji wa kisanyansi kodata ni faila ya wanyama (animalia). Nusufaila yenye spishi nyingi ni vetebrata. Hapa mhimili wa kati unaendelea kuwa uti wa mgongo. Samaki, amfibia, reptilia na mamalia wote ni oda ndani ya vetebrata.

Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kodata kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Viungo vya Nje