Chuo Kikuu cha Al-Azhar : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d Roboti: Imeongeza jv:Universitas Al Azhar
Mstari 41: Mstari 41:
[[jv:Universitas Al Azhar]]
[[jv:Universitas Al Azhar]]
[[ka:ალ-აზჰარის უნივერსიტეტი]]
[[ka:ალ-აზჰარის უნივერსიტეტი]]
[[kk:Әл-Азхар университеті]]
[[kk:Әл-Азһар университеті]]
[[ko:알아즈하르 대학교]]
[[ko:알아즈하르 대학교]]
[[lbe:Ал-Азгьар]]
[[lbe:Ал-Азгьар]]

Pitio la 20:49, 21 Desemba 2012

Al-Azhar
Msikiti ya Al-Azhar

Chuo Kikuu cha Al-Azhar' (Kiarabu: جامعة الأزهر jamiʿat al-azhar kwa heshima ya Fatima Zahra binti ya Mtume Muhammad) katika Kairo (Misri) ni chuo kinachoheshimiwa kati ya Waislamu wa dhehebu la Sunni kama kitovu cha elimu ya kidini. Baada ya chuo cha Al-Qairawin mjini Fez (Moroko) ni chuo kikuu cha kale duniani kinachoendelea hadi leo hii.

Al-Azhar imejulikana hasa kama chuo cha kiislamu lakini leo hii kuna idara nyingi kama vile madhab (sheria ya kiislamu), lugha ya Kiarabu, tiba, ualimu, uhandisi na nyengine.

Historia

Al-Azhar kilianzishwa wakati wa makhalifa Wafatima (wa Shia) kama chuo cha sharia kando la msikiti ya Al-Azhar iliyojengwa mwaka 969 BK. Mwaka 975 mafundisho ya sheria ya Kiislamu yalianzishwa. Madrasa ya kufundisha kalam (theolojia ya kiislamu) ilianzishwa mwaka 988 BK. Baada ya mwisho wa utawala wa Wafatima mwelekeo wa chuo kilikuwa cha Kisunni. Baada ya anguko la Waabbasi kutokana na kutwaliwa na Baghdad na Wamongolia mwaka 1258 Al-Azhar ilikuwa kitovu cha elimu ya Kisunni katika dunia ya Kiislamu ikabaki hivyo hadi leo.

Katika karne ya 20 chuo kilipanushwa chini ya malme Faruk wa Misri na tena chini ya serikali ya kanali [Gamal Abdel Nasser]] kwa kuongeza idara za kisasa.

Viungo vya Nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu: