Dola-mji : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.7.1) (Roboti: Imeongeza eu:Hiri-estatu
d r2.7.3) (Roboti: Imeongeza lt:Miestas-valstybė
Mstari 84: Mstari 84:
[[ku:Bajêr-welat]]
[[ku:Bajêr-welat]]
[[la:Urbs-civitas]]
[[la:Urbs-civitas]]
[[lt:Miestas-valstybė]]
[[lv:Pilsētvalsts]]
[[lv:Pilsētvalsts]]
[[mk:Град-држава]]
[[mk:Град-држава]]

Pitio la 12:56, 17 Desemba 2012

Dola-mji ni dola ambalo eneo lake ni mji mmoja pekee.

Katika historia kuna mifano mingi ya dola-miji. Sasa (mnamo mwaka 2006) kuna mitatu pekee ambayo ni dola-miji ya kujitegemea kabisa. Pamoja nayo kuna pia madola au majimbo ndani ya shirikisho yanayoweza kuitwa "dola-mji".

Dola-mji wa kujitegemea kabisa

Dola-mji wa kujitegemea kabisa ni:

Wakati mwingi Kuwait huitwa pia "Dola-mji" kwa sababu karibu wakazi wote wa dola huishi katika mazingira ya Kuwait mjini. Lakini kuna miji midogo mingine nchini.

Dola mji kama jimbo la kujitawala ndani ya shirikisho

Dola mji kama jimbo la kujitawala ndani ya shirikisho ni kama mfano:

Uchina si shirikisho lakini miji ya Hongkong na Makau ina madaraka makubwa ya kujitawala nje ya sheria za Uchina bara.

Dola-miji katika historia

Dola miji ilikuwa muhimu sana katika nchi nyingi kihistoria. Hasa wakati katika nchi fulani hakuna serikali ya juu miji ilijitawala kabisa na kushindana na miji mingine na falme.

Dola-miji katika karne ya 20

Karne ya 20 ilikuwa na dola-miiji kadhaa hasa kati ya vita kuu ya kwanza na ya pili.

  • Fiume (Rijeka) katika Kroatia ya leo
  • Trieste katika Italia ya leo
  • Danzig (Gdansk) katika Poland ya leo
  • Memel (Klaipeda) katika Lithuania ya leo

Dola-miji ya zamani

  • Dola la Ujerumani lilikuwa na dola-miji mingi hadi karne ya 19. Iliyobaki hadi leo na hali ya pekee ndani ya shirikisho la jamhuri ni Hamburg na Bremen. Mji wa Berlin ambao leo ni jimbo la kujitegema haukuwa dola-mji katika historia.

Viungo vie nje