Dubai : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.7.2) (Roboti: Imeongeza ilo:Dubai
d r2.7.3) (Roboti: Imeongeza gn:Nduvái
Mstari 51: Mstari 51:
[[ga:Dubai]]
[[ga:Dubai]]
[[gl:Dubai]]
[[gl:Dubai]]
[[gn:Nduvái]]
[[he:דובאי]]
[[he:דובאי]]
[[hi:दुबई]]
[[hi:दुबई]]

Pitio la 00:21, 14 Desemba 2012

Dubai (Kiarabu: دبيّ) ni ufalme katika Shirikisho la Falme za Kiarabu kwenye rasi ya Uarabuni na pia jina la mji mkuu wa ufalme huu.

Amiri wa Dubai ambaye ni pia Makamu wa Rais wa shirikisho ni Mohammed bin Rashid Al Maktoum.

Dubai ni ufalme mkubwa wa pili katika shirikisho baada ya Abu Dhabi. Iko kwenye mwambao wa Ghuba ya Uajemi kati ya Sharjah na Abu Dhabi. Kuna mji wa pili ni Hatta mpakani na Oman.

Jiji la Dubai ilikuwa mji mdogo mwenye wakazi 20,000 hadi vita kuu ya pili ya dunia. Leo hii kuna wakazi zaidi ya 1,200,000. Nyumba zote za Dubai ni mpya.

Kukua kwa Dubai kulianzishwa kutokana na mapato ya mafuta ya petroli. Lakini akiba za mafuta si kubwa kama kwa majirani yake. Mapato ya mafuta ni 6% pekee za pato la taifa. Viongozi wa Dubai walifaulu kuweka msingi mpya wa biashara na utalii.

Viungo vya nje