York : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.7.2+) (Roboti: Imebadilisha: nl:York (Verenigd Koninkrijk)
d r2.6.8) (Robot: Modifying sk:York (Anglicko) to sk:York (mesto)
Mstari 68: Mstari 68:
[[sh:York]]
[[sh:York]]
[[simple:York]]
[[simple:York]]
[[sk:York (Anglicko)]]
[[sk:York (mesto)]]
[[sr:Јорк]]
[[sr:Јорк]]
[[sv:York]]
[[sv:York]]

Pitio la 09:30, 9 Desemba 2012

Kitovu cha kihistoria cha York

York ni mji wa Ufalme wa Maungano uliopo katika kaskazini ya Uingereza. Hutazamiwa kama mji mkuu wa Yorkshire ingawa kiutawala si sehemu ya Yorkshire tena bali eneo la pekee. Kuna wakazi wapatao 130,000. Mji upo kando la mto Ouse (Yorkshire)

Ni mji wa kale sana ulikuwepo tayari zamani za utawala wa kiroma katika Uingereza ukaitwa Eboracum. Waviking waliovamia sehemu hii ya Uingereza katika karne ya 9 wakaita mahali "Jorvik" iliyomaanisha "bandari ya chifu" katika lugha yao. Baada ya uvamizi wa Wanormani katika karne ya 11 matamshi ya jina la Kinormani yalikuwa polepole "York".

Hadi leo mji una nyumba nyingi za kihstoria. Jengo kuu ni kanisa kuu maarufu la Kianglikana lililokamilishwa mwaka 1472. Askofu Mkuu wa York ana nafasi ya pili ya kiheshima ndani ya Kanisa Anglikana ya Uingereza. Tangu mwaka 2005 John Sentamu mwenyeji wa Uganda amekuwa askofu mkuu.

Kando la mji wa kihstoria kuna maeneo ya Chuo Kikuu cha York kilichoanzishwa mwaka 1963.