Kitonga (Malawi) : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.6.8) (Robot: Modifying eo:Tongaa lingvo (Malavio) to eo:Tongaa lingvo
Mstari 13: Mstari 13:


[[en:Tonga (Nyasa) language]]
[[en:Tonga (Nyasa) language]]
[[eo:Tongaa lingvo (Malavio)]]
[[eo:Tongaa lingvo]]
[[sk:Tongčina (Malawi)]]
[[sk:Tongčina (Malawi)]]

Pitio la 21:14, 8 Desemba 2012

Kitonga ni lugha ya Kibantu nchini Malawi inayozungumzwa na Watonga. Kisichanganywe na Kitonga cha Zambia. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kitonga imehesabiwa kuwa watu 170,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kitonga kiko katika kundi la N10.

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitonga (Malawi) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.