Rukia yaliyomo

Kiunguja : Tofauti kati ya masahihisho

375 bytes added ,  miaka 10 iliyopita
no edit summary
(Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'kiugunja ni lahaja izungumzwayo kisiwani ugunja zanzibar na ndio lahaja ya pekee ambayo ni msingi wa kiswahili cha sasa.')
 
No edit summary
'''Kiunguja''' ("lugha ya Unguja") ni [[Lahaja za Kiswahili|lahaja ya Kiswahili]] iliyo lugha ya kawaida kwenye kisiwa cha [[Unguja]], [[Tanzania]]. Lahaja hii ilitumiwa wakati wa ukoloni na [[Inter-territorial Language (Swahili) committee|Kamati ya kimaeneo ya lugha ya Kiswahili]] kama msingi wa kuunda Kiswahili Sanifu katika Afrika ya Mashariki. <ref>[http://www.britannica.com/EBchecked/topic/319730/Kiunguja Kiunguja]</ref>
kiugunja ni lahaja izungumzwayo kisiwani ugunja zanzibar na ndio lahaja ya pekee ambayo ni msingi wa kiswahili cha sasa.
 
==Marejeo==
{{Reflist}}
 
[[Category:Kiswahili]]
 
[[en:Kiunguja]]