U : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
sahihisho dogo
Mstari 25: Mstari 25:
! Kilatini Kipya:<br> U
! Kilatini Kipya:<br> U
|}
|}
Alama ya U kiasili haikupatikana katika Kilatini cha Kale. Iliandikwa kama V na matamshi yake yalitegemea nafasi yake katika neno pia lahaja mbalimbali. Tofauti ilikubwaliwa tu wakati wa Kilatini Kipya katika karne ya 16 ambako wataalamu wa Ulaya walikubaliana kutumia alama yenye kona V kwa sauti ya konsonanti na alama isiyo na kona U kwa vokali.
Alama ya U kiasili haikupatikana katika Kilatini cha Kale. Iliandikwa kama V na matamshi yake yalitegemea nafasi yake katika neno pia lahaja mbalimbali. Tofauti ilikubwaliwa tu wakati wa Kilatini Kipya katika karne ya 16 ambako wataalamu wa Ulaya walikubaliana kutumia alama yenye kona V kwa sauti ya [[konsonanti]] na alama isiyo na kona U kwa [[vokali]].


Waroma walipokea alama hii kutoka [[alfabeti ya Kigiriki]] kupitia alfabeti za Kiitalia za awali kama [[Kietruski]]. Wagiriki walipokea kutoka [[Wafinisia]].
Waroma walipokea alama hii kutoka [[alfabeti ya Kigiriki]] kupitia alfabeti za Kiitalia za awali kama [[Kietruski]]. Wagiriki walipokea kutoka [[Wafinisia]].


Wafinisia walikuwa na waw iliyokuwa kiasili picha iliyorahisishwa ya fimbo la kingoe au kiopoo. Wagiriki wa Kale walichukua alama hiyo na kuitumia kwa namna mbili: kwa umbo moja kama [[digamma]] (tazama [[F]]) na umbo la pili kama "[[ipsilon]]" bila kujali maana asilia ilitaja sauti kati ya "u" na "i".
Wafinisia walikuwa na "waw" iliyokuwa kiasili picha iliyorahisishwa ya fimbo la kingoe au kiopoo. Wagiriki wa Kale walichukua alama hiyo na kuitumia kwa namna mbili: kwa umbo moja kama [[digamma]] (tazama [[F]]) na umbo la pili kama "[[ipsilon]]" bila kujali maana asilia ilitaja sauti kati ya "u" na "i".

Waitalia ya kwanza wakaendelea kutumia alama kwa aina ya "u" lakini pia "w" kama ilikuwa mwanzoni wa neno. Waroma walipokea vile. Baada ya kutawala Ugriki pia na kupokea maneno mengi ya Kigiriki katika Kilatini walipokea pia ipsilon yenyewe kutoka Kigiriki moja kwa moja kwa sauti ya Kigiriki iliyo kati ya "u" na "i" (kama Kijerumani "ü").

Waroma mwanzoni hawakutumia alama hii kwa sababu hawakuwa na "k" jinsi Waetruski walivyoitamka. Kwa sauti ya "k" ya kawaida Waroma walitumia [[C]]. Lakini baadaye baada ya Roma kutwaa na kutawala Ugiriki walianza kutumia maneno mengi ya Kigiriki wakaingiza K ya Kigiriki katika alfabeti yao wakaitumia wka maneno ya kigeni tu.


Waitalia ya kwanza wakaendelea kutumia alama kwa aina ya "u" lakini pia "w" kama ilikuwa mwanzoni wa neno. Waroma walipokea vile.


[[Category:Alfabeti]]
[[Category:Alfabeti]]

Pitio la 19:47, 17 Oktoba 2007

Alfabeti ya Kilatini
(kwa matumizi ya Kiswahili)
Aa Bb Cc ch Dd
Ee Ff Gg Hh Ii Jj
Kk Ll Mm Nn Oo Pp
Qq Rr Ss Tt Uu Vv
Ww Xx Yy Zz

U ni herufi ya 21 katika alfabeti ya Kilatini ambayo ni pia mwandiko wa Kiswahili cha kisasa. Asili yake ni Ipsilon katika alfabeti ya Kigiriki.

Maana za U

  • katika kemia U ni alama ya elementi urani.
  • Kwa magari U ni alama ya gari kutoka Uruguay. Magari ya Uganda yana kifupi cha EAU (East Africa-Uganda)


Historia ya alama U

Historia ya U ina asili za pamoja na V, W , Y na F. Historia hii ni ngumu kidogo kwa sababu alama ilipita katika alfabeti za lugha ambazo zilitumia hasa alama hii kwa sauti tofautitofauti. Kwa sababu hii matamshi yalibadilika kati ya lugha na lugha. Pia lugha mpya iliweza kuona haja ya kuunda alama mpya kwa sauti ya pekee.

Kisemiti asilia:
picha ya kingoe
Kifinisia:
Waw
Kigiriki:
ipsilon
Kietruski:
V
Kilatini:
V
Kilatini Kipya:
U

Alama ya U kiasili haikupatikana katika Kilatini cha Kale. Iliandikwa kama V na matamshi yake yalitegemea nafasi yake katika neno pia lahaja mbalimbali. Tofauti ilikubwaliwa tu wakati wa Kilatini Kipya katika karne ya 16 ambako wataalamu wa Ulaya walikubaliana kutumia alama yenye kona V kwa sauti ya konsonanti na alama isiyo na kona U kwa vokali.

Waroma walipokea alama hii kutoka alfabeti ya Kigiriki kupitia alfabeti za Kiitalia za awali kama Kietruski. Wagiriki walipokea kutoka Wafinisia.

Wafinisia walikuwa na "waw" iliyokuwa kiasili picha iliyorahisishwa ya fimbo la kingoe au kiopoo. Wagiriki wa Kale walichukua alama hiyo na kuitumia kwa namna mbili: kwa umbo moja kama digamma (tazama F) na umbo la pili kama "ipsilon" bila kujali maana asilia ilitaja sauti kati ya "u" na "i".

Waitalia ya kwanza wakaendelea kutumia alama kwa aina ya "u" lakini pia "w" kama ilikuwa mwanzoni wa neno. Waroma walipokea vile.