Visiwa vya Cocos (Keeling) : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.7.3) (Roboti: Imeongeza hy:Կոկոսյան կղզիներ
Mstari 86: Mstari 86:
[[wo:Dunu Kokos]]
[[wo:Dunu Kokos]]
[[wuu:科科斯群岛]]
[[wuu:科科斯群岛]]
[[xmf:ქოქოსიშ კოკეფი]]
[[yo:Àwọn Erékùṣù Kókósì]]
[[yo:Àwọn Erékùṣù Kókósì]]
[[zh:科科斯(基林)群島]]
[[zh:科科斯(基林)群島]]

Pitio la 11:20, 4 Novemba 2012

Ramani ya Visiwa vya Keeling (Cocos)
Mahali pa Visiwa vya Keeling (Cocos)

Visiwa vya Cocos (Keeling) ni eneo la ng'ambo la Australia katika Bahari Hindi. Eneo lao ni atolli mbili katikati ya Australia na Sri Lanka, takriban 3685 km upande wa magharibi ya Durban (Australia) na 1,300 km upande wa kusini ya Singapur. Anwani ya kijiografia ni 12°07′S, 96°54′E.

Eneo lote la nchi kavu ni 14.4 km² na idadi ya wakazi takriban watu 700.