Wendell Stanley : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.6.5) (roboti Nyongeza: gd:Wendell Meredith Stanley
d r2.7.2) (Roboti: Imeongeza be:Уэндэл Мерэдыт Стэнлі
Mstari 12: Mstari 12:


[[ar:وندل ستانلي]]
[[ar:وندل ستانلي]]
[[be:Уэндэл Мерэдыт Стэнлі]]
[[ca:Wendell Meredith Stanley]]
[[ca:Wendell Meredith Stanley]]
[[cs:Wendell Meredith Stanley]]
[[cs:Wendell Meredith Stanley]]

Pitio la 16:50, 16 Oktoba 2012

Wendell Meredith Stanley (16 Agosti, 190415 Juni, 1971) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza kugandisha virusi kama fuwele. Mwaka wa 1946, pamoja na James Sumner na John Howard Northrop alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.


Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wendell Stanley kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.