Kanisa la Wakaldayo : Tofauti kati ya masahihisho
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '{{Kanisa Katoliki}} '''Kanisa Katoliki la Wakaldayo''' (kwa Kiaramu ܥܕܬܐ ܟܠܕܝܬܐ ܩܬܘܠܝܩܝܬܐ , ''ʿītha kaldetha qāthuliqetha'') ni mojawa...' |
|||
Mstari 15: | Mstari 15: | ||
Kanisa hilo linaongozwa na [[Patriarki]] wa [[Babuloni]], kwa sasa [[kardinali]] [[Emmanuel III Delly|Mar Emmanuel III Delly]], anayeishi [[Baghdad]], [[Iraki]].<ref>[http://ap.google.com/article/ALeqM5jrwm778S-HyuIfgZAXj6WPONyV8wD8SB0N8O0 AP]</ref> |
Kanisa hilo linaongozwa na [[Patriarki]] wa [[Babuloni]], kwa sasa [[kardinali]] [[Emmanuel III Delly|Mar Emmanuel III Delly]], anayeishi [[Baghdad]], [[Iraki]].<ref>[http://ap.google.com/article/ALeqM5jrwm778S-HyuIfgZAXj6WPONyV8wD8SB0N8O0 AP]</ref> |
||
Chini yake kuna ma[[dayosisi|jimbo]] kati nchi hiyo, nyingine za [[Mashariki ya Kati]] na kwenye mtawanyiko uliotokana na waamini kuhama kwa sababu ya hali ngumu hasa ya [[vita]] na [[dhuluma]] |
Chini yake kuna ma[[dayosisi|jimbo]] kati nchi hiyo, nyingine za [[Mashariki ya Kati]] na kwenye mtawanyiko uliotokana na waamini kuhama kwa sababu ya hali ngumu hasa ya [[vita]] na [[dhuluma]]: [[Iran]], [[Siria]], [[Uturuki]], [[Lebanon]], [[Misri]], [[Kanada]], [[Marekani]], [[Australia]], [[Ufaransa]] n.k. |
||
==Tanbihi== |
==Tanbihi== |
Pitio la 10:17, 16 Oktoba 2012
Kanisa Katoliki la Wakaldayo (kwa Kiaramu ܥܕܬܐ ܟܠܕܝܬܐ ܩܬܘܠܝܩܝܬܐ , ʿītha kaldetha qāthuliqetha) ni mojawapo kati ya Makanisa Katoliki ya Mashariki, likifuata mapokeo ya Mesopotamia[1].
Idadi ya waamini leo ni kama 500,000[2] [3], wengi wao wakiwa wenyeji wa Mesopotamia.
Historia
Kanisa hilo linachanga historia moja na Kanisa la Asiria hasa hadi mwaka 1552, lilipotokea farakano kati yao, huku waliojiita Wakaldayo wakiungana na Kanisa Katoliki kama walivyotangulia kufanya wenzao kadhaa wa Cyprus mwaka 1445[4]
Muundo
Kanisa hilo linaongozwa na Patriarki wa Babuloni, kwa sasa kardinali Mar Emmanuel III Delly, anayeishi Baghdad, Iraki.[5]
Chini yake kuna majimbo kati nchi hiyo, nyingine za Mashariki ya Kati na kwenye mtawanyiko uliotokana na waamini kuhama kwa sababu ya hali ngumu hasa ya vita na dhuluma: Iran, Siria, Uturuki, Lebanon, Misri, Kanada, Marekani, Australia, Ufaransa n.k.
Tanbihi
- ↑ "TQ & A on the Reformed Chaldean Mass". Iliwekwa mnamo 2009-02-07.
- ↑ Ronald Roberson. "The Eastern Catholic Churches 2010". Catholic Near East Welfare Association. Iliwekwa mnamo December 2010. Check date values in:
|accessdate=
(help) Information sourced from Annuario Pontificio 2010 edition - ↑ CNEWA - Chaldean Catholic Church
- ↑ Council of Florence, Bull of union with the Chaldeans and the Maronites of Cyprus Session 14, 7 August 1445 [1]
- ↑ AP
Viungo vya nje
- Chaldean Catholic Church Mass Times
- Chaldean Catholic Church - from the website of the Catholic Near East Welfare Association.
- Chaldean Catholic Diocese of Saint Peter
- Catholic Churches (In German)
- East Syrian Rite (Catholic Encyclopedia)
- History of the Chaldean Church
- Qambel Maran- Syriac chants from South India- a review and liturgical music tradition of Syriac Christians revisited
- St Pauls Chaldean Assyrian church
- [2]
- [3]
- [4]
- [5]