Hedwiga wa Poland : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|right|[[Malkia Hedwiga leo anaheshimiwa kama mtakatifu.]] [[File:Coat of arms of Jadwiga of Poland.svg|thum...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 09:09, 16 Oktoba 2012

Malkia Hedwiga leo anaheshimiwa kama mtakatifu.
Ngao yake.
Vazi maalumu la ibada la Jadwiga.

Hedwiga (kwa Kijerumani Hedwig, kwa Kipolandi Jadwiga, linatamkwa jadˈviɡa) aliishi tangu mwaka 1373/1374 hadi 17 Julai 1399).

Kuanzia mwaka 1384 hadi kifo chake alitawala nchi ya Poland akiitwa 'mfalme' badala ya 'malkia', ili kusisitiza kwamba hakuna tu mke wa mtawala halisi[1].

Alizaliwa katika ukoo wa Wakapeti wa Anjou, binti wa mwisho wa mfalme Luis I wa Hungaria na Elizabeti wa Bosnia.[2].

Tangu zamani anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu na msimamizi wa kila malkia. Papa Yohane Paulo II ndiye aliyemtangaza rasmi mwenye heri tarehe 8 Agosti 1986 na mtakatifu tarehe 8 Juni 1997.

Picha

Tanbihi

  1. Hedvigis Rex Polonie: M. Barański, S. Ciara, M. Kunicki-Goldfinger, Poczet królów i książąt polskich, Warszawa 1997, also Teresa Dunin-Wąsowicz, Dwie Jadwigi (The Two Hedwigs)
  2. Norman Davies (2005). Jadwiga (chapter Jogalia). God's Playground: A History of Poland in Two Volumes, Volume 1 94-96. Oxford University Press. Iliwekwa mnamo April 10, 2012.
  3. Psałterz floriański

Marejeo

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu: