Kwolu : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.6.4) (Roboti: Imebadilisha: el:Δασύουρος
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: fa:راسوی کیسه‌دار
Mstari 43: Mstari 43:
[[en:Quoll]]
[[en:Quoll]]
[[es:Dasyurus]]
[[es:Dasyurus]]
[[fa:راسوی کیسه‌دار]]
[[fi:Pussinäädät]]
[[fi:Pussinäädät]]
[[fr:Dasyurus]]
[[fr:Dasyurus]]

Pitio la 03:02, 15 Oktoba 2012

Kwolu
Kwolu-madoa (Dasyurus maculatus)
Kwolu-madoa (Dasyurus maculatus)
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata
Nusufaila: Vertebrata
Ngeli: Mammalia
Ngeli ya chini: Marsupialia
Oda: Dasyuromorphia
Familia: Dasyuridae
Jenasi: Dasyurus

Kwolu (kutoka Kiing.: quoll, Kisayansi: Dasyurus) ni spishi ya marsupialia wafananao na paka wa Australia na Tasmania mwenye madoa meupe.

Spishi

Makala hii kuhusu "Kwolu" inatumia neno (au maneno) ambalo si kawaida na matumizi yake ni jaribio la kutafsiri neno (au maneno) la asili quoll kutoka lugha ya Kiingereza. Neno (au maneno) la jaribio ni kwolu.
Wasomaji wanaombwa kuchangia mawazo yao kwenye ukurasa wa majadiliano ya makala.

Kamusi za Kiswahili ama zinatofautiana kuhusu matumizi ya neno hili au hazieleweki au hazina neno kwa jambo linalojadiliwa.