T : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
New page: {{A-Z}} '''T''' ni herufi ya 20 katika alfabeti ya Kilatini ambayo ni pia mwandiko wa Kiswahili cha kisasa. Asili yake ni Tau ya alfabeti ya Kigiriki. ==Maana za T== * katika ...
(Hakuna tofauti)

Pitio la 22:24, 12 Oktoba 2007

Alfabeti ya Kilatini
(kwa matumizi ya Kiswahili)
Aa Bb Cc ch Dd
Ee Ff Gg Hh Ii Jj
Kk Ll Mm Nn Oo Pp
Qq Rr Ss Tt Uu Vv
Ww Xx Yy Zz

T ni herufi ya 20 katika alfabeti ya Kilatini ambayo ni pia mwandiko wa Kiswahili cha kisasa. Asili yake ni Tau ya alfabeti ya Kigiriki.

Maana za T

Historia ya T

Kisemiti asilia T Kifinisia T Kietruski T Kigiriki Tau

Tâw ilikuwa herufi ya mwisho katika alfabeti ua Wasemiti wa kale. Alama yake ilikuwa msalaba. Wagiriki walipopokea alama za Wafinisia waliiita alama Tau na kusukuma mstari wa kulala juu hadi mwanzo wa mstari wa kusimama.

Waetruski na Waroma wa Kale walipokea vile.