Kanisa kuu : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.7.2) (Roboti: Imeongeza ast:Catedral
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[File: Salta-Capital-P3130055.JPG|thumb|right|200px|Kanisa kuu]]
'''Kanisa kuu''' ni jina la heshima la jengo la ibada la [[Ukristo]] ambalo [[Askofu]] wa [[jimbo]] ([[dayosisi]]) fulani analitumia kwa kawaida kutekeleza kazi yake kama [[mchungaji]] mkuu wa waamini wake.

Pitio la 15:00, 11 Oktoba 2012

Kanisa kuu

Kanisa kuu ni jina la heshima la jengo la ibada la Ukristo ambalo Askofu wa jimbo (dayosisi) fulani analitumia kwa kawaida kutekeleza kazi yake kama mchungaji mkuu wa waamini wake.

Jina hilo linashuhudiwa tayari na maandishi ya mwaka 516.

Linaitwa pia "kanisa mama" kwa sababu ni kama mama ya makanisa yote ya jimbo hilo.

Ndani yake umo ukulu, yaani kiti cha Askofu kisichopatikana katika makanisa mengine.