Annise Parker : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: fa:آنیس پارکر
d r2.7.3) (Roboti: Imeongeza zh:安妮斯·帕克
Mstari 36: Mstari 36:
[[sk:Annise Parkerová]]
[[sk:Annise Parkerová]]
[[sv:Annise Parker]]
[[sv:Annise Parker]]
[[zh:安妮斯·帕克]]

Pitio la 17:03, 29 Septemba 2012

Annise Parker

Annise Danette Parker (amezaliwa tar. 17 Mei, 1956) ni meya mpya wa mji wa Houston jimboni Texas. Ni meya shoga wa kwanza wa mji mkubwa nchini Marekani. Wakati wa kampeni za uchaguzi alijulikana sana wakati huo alipojitangaza kuwa ni shoga. Parker ni ni mwanachama wa Chama cha Kidemokrasia na alikuwa ni mwanachama wa baraza la mji katika Houston.

Viungo vya Nje