Kilimanjaro (volkeno) : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
mita <-> futi
d r2.7.2) (roboti Nyongeza: kn:ಕಿಲಿಮಂಜಾರೊ
Mstari 64: Mstari 64:
[[ka:კილიმანჯარო]]
[[ka:კილიმანჯარო]]
[[kk:Килиманджаро]]
[[kk:Килиманджаро]]
[[kn:ಕಿಲಿಮಂಜಾರೊ]]
[[ko:킬리만자로 산]]
[[ko:킬리만자로 산]]
[[krc:Килиманджаро]]
[[krc:Килиманджаро]]

Pitio la 07:56, 7 Septemba 2012

Mlima Kilimanjaro unavyoonekana kutoka Moshi
Kilele cha Kibo kwenye mlima Kilimanjaro

Kilimanjaro ni mlima mrefu kuliko yote Afrika. Mlima huu uko nchini Tanzania katika Mkoa wa Kilimanjaro. Una urefu wa mita 5,895 (futi 19,340). Hali halisi Kilimanjaro ni zaidi kuliko mlima tu ni kama safu ndogo ya milima mitatu: Kibo, Mawenzi na Shira. Hii mitatu inaonekana kama vilele vitatu vya mlima mmoja hivyo si vibaya kusema Kilimanjaro ni mlima.

Kilimanjaro ni volkeno iliyolala kwa sasa. Kwenye kilele cha Kibo gesi bado inatoka. Kumbukumbu ya wenyeji ina habari ya mlipuko takriban mnamo mwaka 1730.

Kilele cha juu cha Kibo kinaitwa Uhuru. Mtu wa kwanza wa kufika kileleni hapo alikuwa Johannes Kinyala Lauwo kutoka Marangu aliyewaongoza Wajerumani Hans Meyer na Ludwig Purtscheller tarehe 6 Oktoba, 1889 wakati wa ukoloni wa Ujerumani. Wakati ule waliita ncha ya juu "Kaiser-Wilhelm-Spitze" (kijer.:Kilele cha Kaisari Wilhelm) kwa heshima ya Kaisari wa Ujerumani.

Kibo ina theluji na barafuto kadhaa ndogo.

Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kilimanjaro (volkeno) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Kigezo:Link FA