Henry III wa Uingereza : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.7.2+) (Roboti: Imebadilisha: el:Ερρίκος Γ΄ της Αγγλίας
d The file Image:King_Henry_III_from_NPG.jpg has been replaced by Image:King_Edward_II.jpg by administrator commons:User:Logan: ''File renamed: ''File renaming criterion #5: Correct obvious err...
Mstari 1: Mstari 1:
[[picha:King_Henry_III_from_NPG.jpg|thumb|200px|Henry III (uchoraji mnamo mwaka 1620 ulioongezewa baadaye jina la "Edwardus" kwa kosa)]]
[[picha:King_Edward_II.jpg|thumb|200px|Henry III (uchoraji mnamo mwaka 1620 ulioongezewa baadaye jina la "Edwardus" kwa kosa)]]

'''Henry III''' ([[1 Oktoba]], [[1207]] – [[16 Novemba]], [[1272]]) alikuwa mfalme wa [[Uingereza]] mwaka [[1216]] alipokuwa na umri wa miaka 9. Alitawala kama mfalme wa Uingereza na mkuu wa [[Eire]] hadi kifo chake kwenye mwaka 1272. Alimwoa [[Eleanor wa Provence]]. Alianzisha majengo katika mtaa wa Westminster mjini [[London]] ulioendelea kuwa makao ya serikali ya Uingereza kwa karne nyingi.

Pitio la 19:42, 3 Septemba 2012

Henry III (uchoraji mnamo mwaka 1620 ulioongezewa baadaye jina la "Edwardus" kwa kosa)

Henry III (1 Oktoba, 120716 Novemba, 1272) alikuwa mfalme wa Uingereza mwaka 1216 alipokuwa na umri wa miaka 9. Alitawala kama mfalme wa Uingereza na mkuu wa Eire hadi kifo chake kwenye mwaka 1272. Alimwoa Eleanor wa Provence. Alianzisha majengo katika mtaa wa Westminster mjini London ulioendelea kuwa makao ya serikali ya Uingereza kwa karne nyingi.

Miaka mingi aligombana na makabaila wakubwa juu ya haki za mfalme. Alipaswa kuthibitisha sheria ya Magna Charta na kukubali makao ya bunge ya kwanza ya Uingereza mwaka 1264 iliyokuwa na haki ya kukubali au kukataa kodi.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Henry III wa Uingereza kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.