Tofauti kati ya marekesbisho "Methali"

Jump to navigation Jump to search
no edit summary
| Adhabu ya kaburi, aijuaye maiti.
| Taabu na dhiki ya kaburini,aijuaye maiti.Inatufahamisha kuwa aijuaye taabu na dhiki ya jambo lolote ni yule aliyehusika nalo.
| The discomfort of the grave is only known by the deceased.
|-
| Kitanda usichokilalia hujui kunguni wake.
| Kitanda ambacho hujalala juu yake huwezi kujua kama kina kunguni wengi au kidogo,yule anachokilalia kitanda hicho ndiye ajuaye hasa adhabu ya kunguni wake. Inakufahamisha kuwa shida inayompata mwenzio huwezi kujua taabu yake maana haikukufika wewe.
| You can't judge how many bugs are in a bed that you're not sleeping in.
|-
| Afadhali dooteni,kama ambari kutanda.
| Afadhali kibaya kidogo ulichonacho,kuliko kingi kizuri usichonacho wala huna njia ya kukipata.Hutumiwa kumnasihi mtu akinai na atoshelezeke na alichonacho,ingawaje kidogo.
| Better the little you own than a lot that you don't or can't archieve.
|}
 

Urambazaji