Methali : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: ckb:پەندی پێشینان |
No edit summary |
||
Mstari 26: | Mstari 26: | ||
| Adhabu ya kaburi, aijuaye maiti. |
| Adhabu ya kaburi, aijuaye maiti. |
||
| Taabu na dhiki ya kaburini,aijuaye maiti.Inatufahamisha kuwa aijuaye taabu na dhiki ya jambo lolote ni yule aliyehusika nalo. |
| Taabu na dhiki ya kaburini,aijuaye maiti.Inatufahamisha kuwa aijuaye taabu na dhiki ya jambo lolote ni yule aliyehusika nalo. |
||
| The discomfort of the grave is only known by the deceased. |
|||
| |
|||
|- |
|- |
||
| Kitanda usichokilalia hujui kunguni wake. |
| Kitanda usichokilalia hujui kunguni wake. |
Pitio la 13:26, 2 Septemba 2012
Methali ni aina ya usemi wa kisanii wa kimapokeo unaofikiriwa na jamii kuwa wa kweli na unaotumiwa kufumbia au kutolea mfano na huwa umebeba maana pana kuliko maneno yenyewe yanayotumiwa.
Kila Taifa na kila kabila lina methali zake, baadhi ya methali za kiswahili ni kama; mficha ugonjwa kifo humuumbua na mcheza kwao hutunzwa.
Methali za Kiswahili
Methali | Maana/Matumizi | Taafsiri ya Kizungu |
---|---|---|
Asiyesikia la mkuu, huvunjika guu | Asiyefuata ushahuri wa wakuu wake,mabaya humpata | He that does not heed the elderly advice, evil befalls him |
Aisifiaye mvua,ujue imemnyeshea | Hutumika kuashiria mtu asifiaye jambo fulani, bila shaka ashatambua utamu wake | He that praises rain,has seen it |
Aliye juu,mngojee chini | Anayejitapa ashafaulu maishani,punde atafeli. | Pride comes before a fall |
Usimwamshe aliyelala utalala wewe. | usimkumbushe aliyesahau kufanya jambo fulani maanake utalisahau wewe | Do not wake one who is sleeping; you will fall asleep yourself. |
Adhabu ya kaburi, aijuaye maiti. | Taabu na dhiki ya kaburini,aijuaye maiti.Inatufahamisha kuwa aijuaye taabu na dhiki ya jambo lolote ni yule aliyehusika nalo. | The discomfort of the grave is only known by the deceased. |
Kitanda usichokilalia hujui kunguni wake. | Kitanda ambacho hujalala juu yake huwezi kujua kama kina kunguni wengi au kidogo,yule anachokilalia kitanda hicho ndiye ajuaye hasa adhabu ya kunguni wake. Inakufahamisha kuwa shida inayompata mwenzio huwezi kujua taabu yake maana haikukufika wewe. | |
Afadhali dooteni,kama ambari kutanda. | Afadhali kibaya kidogo ulichonacho,kuliko kingi kizuri usichonacho wala huna njia ya kukipata.Hutumiwa kumnasihi mtu akinai na atoshelezeke na alichonacho,ingawaje kidogo. |