Muammar al-Gaddafi : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.7.2+) (Roboti: Imebadilisha: hy:Մուամար Քադդաֆի
d r2.7.3) (Roboti: Imebadilisha: tt:Мөәммәр әл-Каддафи
Mstari 143: Mstari 143:
[[tl:Muammar Gaddafi]]
[[tl:Muammar Gaddafi]]
[[tr:Muammer Kaddafi]]
[[tr:Muammer Kaddafi]]
[[tt:Мөәммәр Каддафи]]
[[tt:Мөәммәр әл-Каддафи]]
[[ug:مۇھەممەر قەززافى]]
[[ug:مۇھەممەر قەززافى]]
[[uk:Муаммар Каддафі]]
[[uk:Муаммар Каддафі]]

Pitio la 06:58, 1 Septemba 2012

Muammar al-Gaddafi
al-Gaddafi mwaka 2006
al-Gaddafi mwaka 2006
Kiongozi wa mapinduzi
Tarehe ya kuzaliwa 1942
Mahali pa kuzaliwa Sirte
Tarehe ya kifo 2011
Alingia ofisini 8 Septemba 1969
Alitanguliwa na Mfalme Idris I wa Libya
Dini Uislamu


Amiri Muammar al-Gaddafi (Kiarabu:معمر القذافي Mu‘ammar al-Qadhāfī) ilikuwa kiongozi wa taifa la Libya.

Amezaliwa katika familia ya mabedawi (wafugaji wahamiaji) mnamo mwaka 1942. Baada ya masomo ya sheria kwenye chuo kikuu cha Libya alijiunga na jeshi 1963 akasoma kwenye chuo cha kijeshi cha Sandhurst (Uingereza) 1965.

1 Septemba 1969 pamoja na maafisa wenzake alipindua serikali ya mfalme Idris I na kutangaza Jamhuri ya Kiarabu ya Libya.

Ingawa hana cheo rasmi anaendelea kutawala nchi yake akiitwa "Kiongozi wa mapinduzi ya 1 Septemba ya Jamahiriya ya Ujamaa ya watu ya Kilibya-Kiarabu".

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Muammar al-Gaddafi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Kigezo:Link FA