Kilabir : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d →‎Viungo vya nje: +Multitree, +ramani using AWB
d r2.7.2) (Roboti: Imeongeza it:Lingua labir
Mstari 12: Mstari 12:


[[en:Labir language]]
[[en:Labir language]]
[[it:Lingua labir]]
[[pms:Lenga Labir]]
[[pms:Lenga Labir]]

Pitio la 15:48, 30 Agosti 2012

Kilabir (pia Kijaku) ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Walabir. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kilabir imehesabiwa kuwa watu 13,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilabir kiko katika kundi la Kijarawan linalofanana na lugha za Kibantu.

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilabir kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.