Tofauti kati ya marekesbisho "Makrina Mdogo"

Jump to navigation Jump to search
412 bytes added ,  miaka 10 iliyopita
no edit summary
(Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|right|200px|Makrina Mdogo. '''Makrina Mdogo''' (Kaiserea ya Kapadokia 330 hivi - Ponto 369) alikuwa [[mm...')
 
No edit summary
 
Mwenyewe pia anaheshimiwa na [[madhehebu]] mbalimbali kama mtakatifu [[bikira]]. [[Sikukuu]] yake ni tarehe [[19 Julai]].
 
==Sala yake==
Ee Bwana, wewe umetuondolea hofu ya kifo.
 
Mwisho wa maisha yetu hapa umeufanya mwanzo wa uzima wa kweli.
 
Kwa kitambo tu utaacha miili yetu ilale usingizi,
halafu kwa tarumbeta ya mwisho utaiamsha kutoka usingizini.
 
Wewe unaukabidhi udongo ukutunzie udongo wako huu
ulioufinyanga kwa mikono yako;
nawe utauchukua tena na kutoka fungu la kufa, lisilo na muundo,
utaugeuza kuwa na uzuri usiokufa.
 
==Marejeo==

Urambazaji