Kwale (ndege) : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Masahihisho
Nyongeza jenasi
Mstari 11: Mstari 11:
| oda = [[Galliformes]] (Ndege kama [[kuku]])
| oda = [[Galliformes]] (Ndege kama [[kuku]])
| familia = [[Phasianidae]] (Ndege walio na mnasaba na [[kwale (ndege)|kwale]])
| familia = [[Phasianidae]] (Ndege walio na mnasaba na [[kwale (ndege)|kwale]])
| jenasi = ''[[Francolinus]]'' [[James Francis Stephens|Stephens]], 1819
| jenasi = ''[[Dendroperdix]]'' [[Austin Roberts|Roberts]], 1922

''[[Francolinus]]'' [[James Francis Stephens|Stephens]], 1819

''[[Peliperdix]]'' [[Charles Lucien Bonaparte|Bonaparte]], 1856

''[[Pternistis]]'' [[Johann Georg Wagler|Wagler]], 1832

''[[Scleroptila]]'' [[Edward Blyth|Blyth]], 1849

''[[Xenoperdix]]'' [[Dinesen]], [[Lehmberg]], [[Svendsen]], [[Hans Jacob Hansen|Hansen]] & [[Jon Fjeldså|Fjeldså]], 1994
''[[Xenoperdix]]'' [[Dinesen]], [[Lehmberg]], [[Svendsen]], [[Hans Jacob Hansen|Hansen]] & [[Jon Fjeldså|Fjeldså]], 1994
| spishi = Angalia katiba
| spishi = Angalia katiba

'''Kwale''' (pia '''kware''') ni [[ndege (mnyama)|ndege]] wa [[jenasi]] ''[[Francolinus]]'' na ''[[Xenoperdix]]'' katika [[familia (biolojia)|familia]] ya [[Phasianidae]]. [[Spishi]] nne za ''Francolinus'' ambazo zina ngozi kichele yenye rangi kali kooni na pande zote za macho huitwa [[kereng'ende (ndege)|kereng'ende]] pia. Rangi ya kwale ni kahawia au kijivu na wana michirizi au madoa. Mara nyingi miguu yao ni myekundu au rangi ya manjano na koo lao ni jekundu, jeupe, jeusi au rangi ya manjano. Hujificha kwa kawaida lakini sauti yao husikika mara kwa mara. Chakula chao ni [[mbegu]], [[mdudu|wadudu]] na [[nyungunyungu]]. Hutaga mayai matatu hadi kumi ardhini pengine juu ya manyasi makavu.
'''Kwale''' (pia '''kware''') ni [[ndege (mnyama)|ndege]] wa [[jenasi]] mbalimbali katika [[familia (biolojia)|familia]] ya [[Phasianidae]]. [[Spishi]] nne za ''Francolinus'' ambazo zina ngozi kichele yenye rangi kali kooni na pande zote za macho huitwa [[kereng'ende (ndege)|kereng'ende]] pia. Rangi ya kwale ni kahawia au kijivu na wana michirizi au madoa. Mara nyingi miguu yao ni myekundu au rangi ya manjano na koo lao ni jekundu, jeupe, jeusi au rangi ya manjano. Hujificha kwa kawaida lakini sauti yao husikika mara kwa mara. Chakula chao ni [[mbegu]], [[mdudu|wadudu]] na [[nyungunyungu]]. Hutaga mayai matatu hadi kumi ardhini pengine juu ya manyasi makavu.

Karibu spishi zote zinatokea [[Afrika]] lakini spishi tano zinatokea [[Asia]].
Karibu spishi zote zinatokea [[Afrika]] lakini spishi tano zinatokea [[Asia]].

Pitio la 12:01, 15 Agosti 2012

Kwa maana mengine ya jina hili angalia hapa

Kwale
Kwale bawa-jekundu
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Aves (Ndege)
Oda: Galliformes (Ndege kama kuku)
Familia: Phasianidae (Ndege walio na mnasaba na kwale)
Jenasi: Dendroperdix Roberts, 1922

Francolinus Stephens, 1819
Peliperdix Bonaparte, 1856
Pternistis Wagler, 1832
Scleroptila Blyth, 1849
Xenoperdix Dinesen, Lehmberg, Svendsen, Hansen & Fjeldså, 1994

Spishi: Angalia katiba

Kwale (pia kware) ni ndege wa jenasi mbalimbali katika familia ya Phasianidae. Spishi nne za Francolinus ambazo zina ngozi kichele yenye rangi kali kooni na pande zote za macho huitwa kereng'ende pia. Rangi ya kwale ni kahawia au kijivu na wana michirizi au madoa. Mara nyingi miguu yao ni myekundu au rangi ya manjano na koo lao ni jekundu, jeupe, jeusi au rangi ya manjano. Hujificha kwa kawaida lakini sauti yao husikika mara kwa mara. Chakula chao ni mbegu, wadudu na nyungunyungu. Hutaga mayai matatu hadi kumi ardhini pengine juu ya manyasi makavu.

Karibu spishi zote zinatokea Afrika lakini spishi tano zinatokea Asia.

Spishi za Afrika

Spishi za Asia

Picha