Kwale (ndege) : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.7.1) (Roboti: Imeongeza nv:Tééh naaʼahóóhaitʼą́ʼí
Masahihisho
Mstari 25: Mstari 25:
* ''Peliperdix albogularis'', [[Kwale Koo-jeupe]] ([[w:White-throated Francolin|White-throated Francolin]])

* ''Peliperdix coqui'', [[Kwale Miguu-njano]] ([[w:Coqui Francolin|Coqui Francolin]])

* ''Peliperdix lathami'', [[Kwale-msitu]] ([[w:Latham's Francolin|Latham's Francolin]])
* ''Peliperdix schlegelii'', [[Kwale wa Schlegel]] ([[w:Schlegel's Francolin|Schlegel's Francolin]])
* ''Pternistis adspersus'', [[Kwale Domo-jekundu]] ([[w:Red-billed Francolin|Red-billed Francolin]])

* ''Pternistis afer'', [[Kereng'ende Shingo-nyekundu|Kereng'ende]] au [[Kwale Shingo-nyekundu]] ([[w:Red-necked Francolin|Red-necked Francolin]])

Mstari 40: Mstari 42:
* ''Pternistis icterorhynchus'', [[Kwale wa Heuglin]] ([[w:Heuglin's Francolin|Heuglin's Francolin]])

* ''Pternistis jacksoni'', [[Kwale-mlima]] ([[w:Jackson's Francolin|Jackson's Francolin]])
* ''Pternistis jacksoni'', [[Kwale-mlima]] ([[w:Jackson's Francolin|Jackson's Francolin]])
* ''Peliperdix lathami'', [[Kwale-msitu]] ([[w:Latham's Francolin|Latham's Francolin]])
* ''Pternistis leucoscepus'', [[Kereng'ende Shingo-njano|Kereng'ende]] au [[Kwale Shingo-njano]] ([[w:Yellow-necked Francolin|Yellow-necked Francolin]])

* ''Pternistis natalensis'', [[Kwale wa Natal]] ([[w:Natal Francolin|Natal Francolin]])

Mstari 46: Mstari 47:
* ''Pternistis ochropectus'', [[Kwale wa Jibuti]] ([[w:Djibouti Francolin|Djibouti Francolin]])

* ''Pternistis rufopictus'', [[Kereng'ende Kidari-kijivu|Kereng'ende]] au [[Kwale Kidari-kijivu]] ([[w:Grey-breasted Francolin|Grey-breasted Francolin]])
* ''Pternistis rufopictus'', [[Kereng'ende Kidari-kijivu|Kereng'ende]] au [[Kwale Kidari-kijivu]] ([[w:Grey-breasted Francolin|Grey-breasted Francolin]])
* ''Peliperdix schlegelii'', [[Kwale wa Schlegel]] ([[w:Schlegel's Francolin|Schlegel's Francolin]])
* ''Pternistis squamatus'', [[Kwale mabaka]] ([[w:Scaly Francolin|Scaly Francolin]])

* ''Pternistis swainsonii'', [[Kereng'ende wa Swainson|Kereng'ende]] au [[Kwale wa Swainson]] ([[w:Swainson's Francolin|Swainson's Francolin]])

Mstari 54: Mstari 54:
* ''Scleroptila levaillantii'', [[Kwale Mabawa-mekundu]] ([[w:Red-winged Francolin|Red-winged Francolin]])

* ''Scleroptila levaillantoides'', [[Kwale wa Kulal]] ([[w:Orange River Francolin|Orange River Francolin]])

* ''Scleroptila psilolaemus'', [[Kwale-bwawa]] ([[w:Moorland Francolin|Moorland Francolin]])
* ''Scleroptila psilolaema'', [[Kwale-bwawa]] ([[w:Moorland Francolin|Moorland Francolin]])
* ''Scleroptila shelleyi'', [[Kwale wa Shelley]] ([[w:Shelley's Francolin|Shelley's Francolin]])

* ''Scleroptila streptophora'', [[Kwale Shingo-nyeusi]] ([[w:Ring-necked Francolin|Ring-necked Francolin]])

Pitio la 11:10, 15 Agosti 2012

Kwa maana mengine ya jina hili angalia hapa

Kwale
Kwale bawa-jekundu
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Aves (Ndege)
Oda: Galliformes (Ndege kama kuku)
Familia: Phasianidae (Ndege walio na mnasaba na kwale)
Jenasi: Francolinus Stephens, 1819

Xenoperdix Dinesen, Lehmberg, Svendsen, Hansen & Fjeldså, 1994

Spishi: Angalia katiba

Kwale (pia kware) ni ndege wa jenasi Francolinus na Xenoperdix katika familia ya Phasianidae. Spishi nne za Francolinus ambazo zina ngozi kichele yenye rangi kali kooni na pande zote za macho huitwa kereng'ende pia. Rangi ya kwale ni kahawia au kijivu na wana michirizi au madoa. Mara nyingi miguu yao ni myekundu au rangi ya manjano na koo lao ni jekundu, jeupe, jeusi au rangi ya manjano. Hujificha kwa kawaida lakini sauti yao husikika mara kwa mara. Chakula chao ni mbegu, wadudu na nyungunyungu. Hutaga mayai matatu hadi kumi ardhini pengine juu ya manyasi makavu.

Karibu spishi zote zinatokea Afrika lakini spishi tano zinatokea Asia.

Spishi za Afrika

Spishi za Asia

Picha