Wabenedikto : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.7.1) (Roboti: Imeongeza bar:Benediktinaordn
No edit summary
Mstari 9: Mstari 9:
Maarufu sana ni mchango wao upande wa elimu, hasa katika kuokoa maandishi ya zamani na kuyanakili ili kurithisha utajiri wa ustaarabu wa Kigiriki na wa Kirumi pamoja na mapokeo ya Kikristo.
Maarufu sana ni mchango wao upande wa elimu, hasa katika kuokoa maandishi ya zamani na kuyanakili ili kurithisha utajiri wa ustaarabu wa Kigiriki na wa Kirumi pamoja na mapokeo ya Kikristo.


Wabenedikto walistawi katika [[Karne za Kati]], inavyoonyesha sensa ya monasteri 14,000 zilizohesabiwa kabla ya [[Mtaguso wa Konstance]] ([[1415]]), ambazo baadhi yake zilifikia kuwa na wamonaki zaidi ya 900.
Wabenedikto walistawi katika [[Karne za Kati]], inavyoonyesha sensa ya monasteri 14,000 zilizohesabiwa kabla ya [[Mtaguso wa Konstanz]] ([[1415]]), ambazo baadhi yake zilifikia kuwa na wamonaki zaidi ya 900.


Uanzishaji wa mashirika mapya, kama yale ya [[Wafransisko]] na [[Wadominiko]], ulipunguza umuhimu wao, bila ya kuwamaliza.
Uanzishaji wa mashirika mapya, kama yale ya [[Wafransisko]] na [[Wadominiko]], ulipunguza umuhimu wao, bila ya kuwamaliza.
Mstari 20: Mstari 20:
* [[Papa Gregori VII]] (1073-1085)
* [[Papa Gregori VII]] (1073-1085)
* [[Papa Viktor III]] (1086-1087)
* [[Papa Viktor III]] (1086-1087)
* [[Papa Urbano II]] (1088)
* [[Papa Urban II]] (1088)
* [[Papa Celestino V]] (1294)
* [[Papa Celestino V]] (1294)
* [[Papa Klementi VI]] (1342-1352)
* [[Papa Klementi VI]] (1342-1352)



== Muundo wa shirika ==
== Muundo wa shirika ==
Mstari 42: Mstari 41:


[[Jamii:Kanisa Katoliki]]
[[Jamii:Kanisa Katoliki]]
[[Jamii:Watawa]]
[[Jamii:Wamonaki]]
[[Jamii:Wabenedikto]]
[[Jamii:Wabenedikto]]
[[Jamii:Mashirika ya kitawa]]


[[an:Orden de Sant Benedet]]
[[an:Orden de Sant Benedet]]

Pitio la 09:18, 8 Agosti 2012

Benedikto wa Norcia, Mwanzilishi wa shirika

Shirika la Mtakatifu Benedikto (kwa Kilatini Ordo Sancti Benedicti au, kifupi, O.S.B.), ni utawa wa wamonaki wanaofuata Kanuni ya Mtakatifu Benedikto iliyoandikwa mwaka 534 na kuenea kote Ulaya Magharibi kama namna ya kawaida ya umonaki.

Historia

Wabenedikto hakubaki katika monasteri zao, wakishika maisha yao ya sala na kazi, bali walijitosa pia kueneza Injili kwa wasio Wakristo, hasa wamonaki wa kiume.

Maarufu sana ni mchango wao upande wa elimu, hasa katika kuokoa maandishi ya zamani na kuyanakili ili kurithisha utajiri wa ustaarabu wa Kigiriki na wa Kirumi pamoja na mapokeo ya Kikristo.

Wabenedikto walistawi katika Karne za Kati, inavyoonyesha sensa ya monasteri 14,000 zilizohesabiwa kabla ya Mtaguso wa Konstanz (1415), ambazo baadhi yake zilifikia kuwa na wamonaki zaidi ya 900.

Uanzishaji wa mashirika mapya, kama yale ya Wafransisko na Wadominiko, ulipunguza umuhimu wao, bila ya kuwamaliza.

Wabenedikto walilipatia Kanisa Katoliki Mapapa wafuatao:

Muundo wa shirika

Wabenedikto, wakiongozwa na abati kwa wanaume au na abesi kwa wanawake, wanaishi katika monasteri ambazo zinajitegemea kiutawala na kuunda mashirikisho 20 ya kiume.

Takwimu

Mnamo tarehe 31 Januari 2005 monasteri za kiume zilikuwa 349 na wamonaki 7.876, ambao kati yao 4.350 ni makasisi pia.

Wamonaki Wabenedikto wa kike mwishoni mwa mwaka huo walikuwa 4.661 katika monasteri 242, mbali na wale wa marekebisho mbalimbali, na masista wa mashirika ya Kibenedikto.

Viungo vya nje