Benn Haidari : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
kusahihisha kiasi tahajia
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
'''Benn Haidari''' aliazaliwa tarehe 6 Machi 1949 katika kijiji cha Mbeni huko visiwa vya [[Komoro]]. Mjomba yake Maalim Said Ilyas akamchukua [[Zanzibar]] katika mwaka wa 1953. Akamaliza masomo yake Fidel Castro Secondary School na kuhamiya [[Ufini]] 1968.
'''Benn Haidari''' aliazaliwa tarehe 6 Machi 1949 katika kijiji cha Mbeni huko [[Ngazija]] visiwa vya [[Komoro]]. Mjomba yake Maalim Said Ilyas akamchukua [[Zanzibar]] katika mwaka wa 1953. Akamaliza masomo yake Fidel Castro Secondary School na kuhamiya [[Ufini]] 1968.


Bw. Haidari kasomeya mambo ya upishi kwenye [[visiwa vya Aland]] huko Finland na akawa katika mpishi mkubwa na wa mwanzo wa kufanya filamu za mapishi katika Televisheni za [[Skandanavia]] katika mwaka 1988.
Bw. Haidari kasomeya mambo ya upishi kwenye [[visiwa vya Aland]] huko Finland na akawa katika mpishi mkubwa na wa mwanzo wa kufanya filamu za mapishi katika Televisheni za [[Skandanavia]] katika mwaka 1988.

Pitio la 19:39, 3 Oktoba 2007

Benn Haidari aliazaliwa tarehe 6 Machi 1949 katika kijiji cha Mbeni huko Ngazija visiwa vya Komoro. Mjomba yake Maalim Said Ilyas akamchukua Zanzibar katika mwaka wa 1953. Akamaliza masomo yake Fidel Castro Secondary School na kuhamiya Ufini 1968.

Bw. Haidari kasomeya mambo ya upishi kwenye visiwa vya Aland huko Finland na akawa katika mpishi mkubwa na wa mwanzo wa kufanya filamu za mapishi katika Televisheni za Skandanavia katika mwaka 1988.

Film yake ya mwanzo ni ' Pengine nitakuwa mpishi wa pizza' na baadaye akafanya filamu 12 za mapishi ya duniya pamoja na mapishi ya kizanzibari ' Samaki wa kupaka ' na mkate wa kusukuma'.

Mwaka 2005 Bw. Haidari alialikwa Ujapani Tokyo kuonesha mapishi yake katika television ya ujapani.

Kitabu chake cha mwanzo cha mapishi kilikuja tarehe 25 Januari 2006.

Bw. Haidari aligombaniya Ubunge katika visiwa vya Åland mwaka 2007.


Marejeo

Modern-Zanzibar-Cuisine-Benn-Haidari