Edward Albee : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d robot Adding: sh:Edward Albee
d robot Adding: hu:Edward Albee
Mstari 20: Mstari 20:
[[gl:Edward Albee]]
[[gl:Edward Albee]]
[[he:אדוארד אלבי]]
[[he:אדוארד אלבי]]
[[hu:Edward Albee]]
[[it:Edward Albee]]
[[it:Edward Albee]]
[[nl:Edward Albee]]
[[nl:Edward Albee]]

Pitio la 07:47, 3 Oktoba 2007

Edward Albee, mwaka wa 1961

Edward Franklin Albee (amezaliwa 12 Machi, 1928) ni mwandishi wa tamthiliya kutoka nchi ya Marekani. Anajulikana hasa kwa tamthiliya yake “Nani Anaogopa Virginia Woolf?” (kwa Kiingereza: Who’s Afraid of Virginia Woolf?) iliyotolewa 1962. Kwa ajili ya tamthiliya zake za baadaye alikuwa mshindi wa Tuzo ya Pulitzer miaka ya 1967, 1976 na 1992.