Pembenyingi : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
kiungo
Mstari 14: Mstari 14:
Image:Simple polygon.png|Pembesita sahili
Image:Simple polygon.png|Pembesita sahili
Image:Complex polygon.svg| Pembetano tata
Image:Complex polygon.svg| Pembetano tata
Image:Polygon face.jpg|Jinsi gani uso wachorwa katika programiu ya tarakishi kwa kutumia pembenyingi
Image:Polygon face.jpg|Jinsi gani uso wachorwa katika programu ya [[tarakishi]] kwa kutumia pembenyingi
</gallery>
</gallery>



Pitio la 15:17, 1 Oktoba 2007

Pembenyingi (pia: poligoni) ni umbo bapa lenye pande tatu au zaidi.

Pembenyingi hutokea kama nukta kwenye tambarare zaunganishwa kwa mistari inayofunga eneo au maeneo ndani yao.

Katika jiometria ya tambarare pembenyingi sahili kabisa ni pembetatu.

Pembenyingi sahili haina mistari inayopandana. Ikipandana huitwa pembenyingi tata.

Mifano ya pembenyingi