Pembenyingi : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
'''Pembenyingi''' ni umbo bapa lenye pande tatu au zaidi.
'''Pembenyingi''' (pia: '''poligoni''') ni umbo bapa lenye pande tatu au zaidi.

Pembenyingi hutokea kama nukta kwenye tambarare zaunganishwa kwa mistari inayofunga eneo au maeneo ndani yao.
Pembenyingi hutokea kama nukta kwenye tambarare zaunganishwa kwa mistari inayofunga eneo au maeneo ndani yao.

Pitio la 15:16, 1 Oktoba 2007

Pembenyingi (pia: poligoni) ni umbo bapa lenye pande tatu au zaidi.

Pembenyingi hutokea kama nukta kwenye tambarare zaunganishwa kwa mistari inayofunga eneo au maeneo ndani yao.

Katika jiometria ya tambarare pembenyingi sahili kabisa ni pembetatu.

Pembenyingi sahili haina mistari inayopandana. Ikipandana huitwa pembenyingi tata.

Mifano ya pembenyingi