Msichana : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: sa:कन्याः
d Roboti: Imeongeza ku:Keç
Mstari 45: Mstari 45:
[[ko:소녀]]
[[ko:소녀]]
[[ksh:Mäddche]]
[[ksh:Mäddche]]
[[ku:Keç]]
[[la:Puella]]
[[la:Puella]]
[[nds:Marjell]]
[[nds:Marjell]]

Pitio la 13:44, 4 Julai 2012

Msichana wa Kimali
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Simple English Wiktionary
Simple English Wiktionary
Wikamusi ya Kiswahili ina maelezo na tafsiri ya maana ya neno:

Msichana ni mtoto wa kike. Ni binadamu mwanamke ambaye haja komaa, japokuwa vijana wa kike pia huweza kuitwa wasichana. Wakati mwingine watu wakubwa bado hutaja wanawake waliokuwa kama wasichana, hasa katika hali ya kutoka nao usiku katika starehe fulani.

Wasichana wadogo bado wana miili ya kitoto. Haikomai hadi atakapofikia umri wa balehe (huenda wakifika umri wa miaka 11 hadi 13) ambapo miili yao inaanza kukomaa na mwanamke kamili. Wakati wa kubalehe, msichana anaanza kuwa na maziwa, maumbo yao sehemu za kiunoni na mabegani zinakuwa kubwa na wanaanza kuwa na hedhi.

Tazama pia

Marejeo mengine