Nabii Eliya : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
sahihisho Samaria - Israeli
No edit summary
Mstari 5: Mstari 5:
Habari za [[nabii]] huyo maarufu sana katika [[Biblia]], na labda katika [[Qurani]] pia, zinapatikana hasa katika [[vitabu vya Wafalme]].
Habari za [[nabii]] huyo maarufu sana katika [[Biblia]], na labda katika [[Qurani]] pia, zinapatikana hasa katika [[vitabu vya Wafalme]].


==Mazingira ya kazi yake==
Wakati [[mfalme Ahabu]] alipotawala Kaskazini ([[869 KK|869]]-[[850 KK|850]] hivi [[KK]]) [[Israeli]] alimuasi kabisa [[YHWH]] ili kumuabudu [[Baali]], kufuatana na sanamu mbili zilizotengenezwa na [[mfalme Yeroboamu I]] zikiwa na sura ileile ya Baali (fahali wa dhahabu). Mezani pa [[malkia Yezebeli]] walikuwa wanalishwa manabii wa uongo 850.


[[Waisraeli]] walielekea [[dini]] za kandokando kwa sababu zilikuwa zinaahidi kufanikisha [[maombi]] yao kwa [[ibada]] za [[hakika]], wakati [[Mungu]] ana [[hiari]] ya kupokea au kukataa [[sadaka]] zao. Waisraeli walijaribu kufuata pande zote mbili kwa pamoja, ila Mungu hakuweza kukubali, kwa kuwa ni peke yake tu. [[Imani]] yao iliyumba hasa wakati [[mfalme Ahabu]] alipotawala Kaskazini ([[869 KK|869]]-[[850 KK|850]] hivi [[KK]]) ambapo [[Yezebeli]], [[mke]] wake, alifanya [[juhudi]] kubwa za kuikomesha kabisa imani yao kwa YHWH ili wamuabudu Baali, mungu mkuu wa kwao aliyehusika na [[mvua]], kufuatana na sanamu mbili zilizotengenezwa na [[mfalme Yeroboamu I]] zikiwa na sura ileile ya Baali (fahali wa dhahabu). Mezani pa [[malkia]] huyo walikuwa wanalishwa manabii wa uongo 850huyo walikuwa wanalishwa manabii wa uongo 850, kumbe manabii wa Bwana waliuawa karibu wote.
Hapo [[Mungu]] akamtuma Eliya wa [[Tishbi]] ([[1Fal]] 17-18) ambaye kwanza alizuia mvua isinyeshe nchini miaka mitatu na nusu, halafu akashindana na manabii hao juu ya [[mlima Karmeli]]. Kwa kuteremsha moto toka mbinguni juu ya sadaka yake YHWH alithibitisha kuwa ndiye Mungu pekee. Baada ya Eliya kuwachinja wote aliruhusu mvua inyeshe tena. Ndiyo sababu anasifika kwa nguvu ya sala yake ([[Yak]] 5:17-18).


==Unabii wake==
Hasa ni kwamba, akisali juu ya [[mlima Sinai]] kama [[Musa]] mwanzoni mwa agano la Israeli na Mungu, alijaliwa kutokewa na Mungu katika sauti ndogo ya upepo mtulivu (1Fal 19:1-18). Hata katika [[Yesu]] kugeuka sura mlimani akatokea pamoja na Musa ili wamshuhudie kama wawakilishi wa [[Torati]] na [[Manabii]] ([[Mk]] 9:2-13).

Hapo [[Mungu]] akamtuma Eliya wa [[Tishbi]] ([[1Fal]] 17-18) ambaye [[jina]] lake lina maana ya kwamba, “Mungu wangu ni YHWH” na linajumlisha [[kazi]] yake ya kutetea kwa [[ari]] zote imani ya kweli hata akaiokoa. Ili kuondoa [[utata]] wa kuabudu pande mbili, Eliya kwanza alizuia mvua isinyeshe nchini miaka mitatu na nusu, ibada kwa Baali zisifanikiwe hata kidogo, halafu akashindana na manabii hao [[hadhara]] ya Israeli yote juu ya [[mlima Karmeli]]. Tofauti na [[mbinu]] za manabii 450 wa Baali, waliofikia kujichanja na kutoka [[damu]] ili kuvuta [[moto]] kutoka [[mbinguni]] wasifaulu, Eliya aliomba tu kwa [[unyofu]] kwamba Mungu ajitokeze ili kugeuza mioyo ya watu wake wamrudie. Kwa kuteremsha moto toka mbinguni juu ya sadaka yake YHWH alithibitisha kuwa ndiye Mungu pekee na kuwa anaendelea kuwaokoa watu wake. Baada ya Eliya kuwachinja wote aliruhusu mvua inyeshe tena. Ndiyo sababu anasifika kwa nguvu ya sala yake ([[Yak]] 5:17-18).

Hasa ni kwamba, baada ya kukimbia [[hasira]] ya Yezebeli aliyemuapia atamuua kabla ya [[kesho]] yake, akisali [[pango]]ni juu ya [[mlima Sinai]] kama [[Musa]] mwanzoni mwa agano la Israeli na [[Bwana]], alijaliwa kutokewa na kuagizwa upya na Mungu katika sauti ndogo ya upepo mtulivu akamilishe kazi yake hasa kwa kuwafanya [[Elisha]] nabii na [[Yehu]] mfalme (1Fal 19:1-18). Hata katika [[Yesu]] kugeuka sura mlimani akatokea pamoja na Musa ili wamshuhudie kama wawakilishi wa [[Torati]] na [[Manabii]] ([[Mk]] 9:2-13).


Kwa jinsi alivyofanya kazi kwa [[ari]], na kwa kupalizwa juu ya gari la moto ([[2Fal]] 2:1-18) akalinganishwa na moto ([[YbS]] 48:1-11) akatabiriwa atarudi kabla ya siku ya Bwana ([[Mal]] 3:23-24).
Kwa jinsi alivyofanya kazi kwa [[ari]], na kwa kupalizwa juu ya gari la moto ([[2Fal]] 2:1-18) akalinganishwa na moto ([[YbS]] 48:1-11) akatabiriwa atarudi kabla ya siku ya Bwana ([[Mal]] 3:23-24).
Mstari 15: Mstari 19:
Ndiyo sababu [[Injili]] zinamtaja mara nyingi.
Ndiyo sababu [[Injili]] zinamtaja mara nyingi.


==Mwendelezo wa kazi yake==
Kazi yake iliyeendelezwa hasa na [[nabii Elisha]], ambaye anasifika pia kwa miujiza yake (YbS 48:12-16) na pamoja na mwalimu wake amechukuliwa na [[Yesu Kristo]] kama mfano wa [[unabii]] wake utakaowaokoa mataifa baada ya Israeli kumkataa ([[Lk]] 4:24-27).

Kati ya wanafunzi wake (walioitwa [[wana wa manabii]]) kazi yake kwa miaka zaidi ya 50 iliyeendelezwa hasa na [[nabii Elisha]], ambaye anasifika pia kwa miujiza yake (YbS 48:12-16) na pamoja na mwalimu wake amechukuliwa na [[Yesu Kristo]] kama mfano wa [[unabii]] wake utakaowaokoa mataifa baada ya Israeli kumkataa ([[Lk]] 4:24-27). Elisha alijihusisha sana na [[siasa]] akaombwa [[shauri]] na wafalme mbalimbali hata wa [[nchi za nje]]. Kwa kumpaka [[mafuta]] Yehu alianzisha [[mapinduzi]] dhidi ya [[ukoo]] wa Ahabu na kukomesha [[upotoshaji]] wake wa imani. Mapinduzi hayo yakaenea [[kusini]] kwa kumuua [[Atalia]], binti wa Yezebeli, aliyetawala miaka saba kisha kuua watu wote wa ukoo wa [[Daudi]] ([[mtoto]] [[Yoashi]] tu alinusurika).


Kadiri ya [[Injili ya Luka]], [[malaika Gabrieli]] alitabiri kuwa [[Yohane Mbatizaji]] atakayezaliwa atarithi [[karama]] ya Eliya na kutekeleza unabii wa [[Kitabu cha Malaki]] juu yake.
Kadiri ya [[Injili ya Luka]], [[malaika Gabrieli]] alitabiri kuwa [[Yohane Mbatizaji]] atakayezaliwa atarithi [[karama]] ya Eliya na kutekeleza unabii wa [[Kitabu cha Malaki]] juu yake.

Pitio la 09:37, 30 Juni 2012

Nabii Eliya alivyochorwa na José de Ribera.

Eliya (kwa Kiebrania אליהו, Eliyahu, maana yake "YHWH ndiye Mungu wangu";[1] kwa Kiarabu إلياس, Ilyās), alikuwa nabii katika Ufalme wa Kaskazini (Israeli) wakati wa mfalme Ahabu (karne ya 9 KK).

Habari za nabii huyo maarufu sana katika Biblia, na labda katika Qurani pia, zinapatikana hasa katika vitabu vya Wafalme.

Mazingira ya kazi yake

Waisraeli walielekea dini za kandokando kwa sababu zilikuwa zinaahidi kufanikisha maombi yao kwa ibada za hakika, wakati Mungu ana hiari ya kupokea au kukataa sadaka zao. Waisraeli walijaribu kufuata pande zote mbili kwa pamoja, ila Mungu hakuweza kukubali, kwa kuwa ni peke yake tu. Imani yao iliyumba hasa wakati mfalme Ahabu alipotawala Kaskazini (869-850 hivi KK) ambapo Yezebeli, mke wake, alifanya juhudi kubwa za kuikomesha kabisa imani yao kwa YHWH ili wamuabudu Baali, mungu mkuu wa kwao aliyehusika na mvua, kufuatana na sanamu mbili zilizotengenezwa na mfalme Yeroboamu I zikiwa na sura ileile ya Baali (fahali wa dhahabu). Mezani pa malkia huyo walikuwa wanalishwa manabii wa uongo 850huyo walikuwa wanalishwa manabii wa uongo 850, kumbe manabii wa Bwana waliuawa karibu wote.

Unabii wake

Hapo Mungu akamtuma Eliya wa Tishbi (1Fal 17-18) ambaye jina lake lina maana ya kwamba, “Mungu wangu ni YHWH” na linajumlisha kazi yake ya kutetea kwa ari zote imani ya kweli hata akaiokoa. Ili kuondoa utata wa kuabudu pande mbili, Eliya kwanza alizuia mvua isinyeshe nchini miaka mitatu na nusu, ibada kwa Baali zisifanikiwe hata kidogo, halafu akashindana na manabii hao hadhara ya Israeli yote juu ya mlima Karmeli. Tofauti na mbinu za manabii 450 wa Baali, waliofikia kujichanja na kutoka damu ili kuvuta moto kutoka mbinguni wasifaulu, Eliya aliomba tu kwa unyofu kwamba Mungu ajitokeze ili kugeuza mioyo ya watu wake wamrudie. Kwa kuteremsha moto toka mbinguni juu ya sadaka yake YHWH alithibitisha kuwa ndiye Mungu pekee na kuwa anaendelea kuwaokoa watu wake. Baada ya Eliya kuwachinja wote aliruhusu mvua inyeshe tena. Ndiyo sababu anasifika kwa nguvu ya sala yake (Yak 5:17-18).

Hasa ni kwamba, baada ya kukimbia hasira ya Yezebeli aliyemuapia atamuua kabla ya kesho yake, akisali pangoni juu ya mlima Sinai kama Musa mwanzoni mwa agano la Israeli na Bwana, alijaliwa kutokewa na kuagizwa upya na Mungu katika sauti ndogo ya upepo mtulivu akamilishe kazi yake hasa kwa kuwafanya Elisha nabii na Yehu mfalme (1Fal 19:1-18). Hata katika Yesu kugeuka sura mlimani akatokea pamoja na Musa ili wamshuhudie kama wawakilishi wa Torati na Manabii (Mk 9:2-13).

Kwa jinsi alivyofanya kazi kwa ari, na kwa kupalizwa juu ya gari la moto (2Fal 2:1-18) akalinganishwa na moto (YbS 48:1-11) akatabiriwa atarudi kabla ya siku ya Bwana (Mal 3:23-24).

Ndiyo sababu Injili zinamtaja mara nyingi.

Mwendelezo wa kazi yake

Kati ya wanafunzi wake (walioitwa wana wa manabii) kazi yake kwa miaka zaidi ya 50 iliyeendelezwa hasa na nabii Elisha, ambaye anasifika pia kwa miujiza yake (YbS 48:12-16) na pamoja na mwalimu wake amechukuliwa na Yesu Kristo kama mfano wa unabii wake utakaowaokoa mataifa baada ya Israeli kumkataa (Lk 4:24-27). Elisha alijihusisha sana na siasa akaombwa shauri na wafalme mbalimbali hata wa nchi za nje. Kwa kumpaka mafuta Yehu alianzisha mapinduzi dhidi ya ukoo wa Ahabu na kukomesha upotoshaji wake wa imani. Mapinduzi hayo yakaenea kusini kwa kumuua Atalia, binti wa Yezebeli, aliyetawala miaka saba kisha kuua watu wote wa ukoo wa Daudi (mtoto Yoashi tu alinusurika).

Kadiri ya Injili ya Luka, malaika Gabrieli alitabiri kuwa Yohane Mbatizaji atakayezaliwa atarithi karama ya Eliya na kutekeleza unabii wa Kitabu cha Malaki juu yake.

Tanbihi

  1. New Bible Dictionary. 1982 (second edition). Tyndale Press, Wheaton, IL, USA. ISBN 0-8423-4667-8, p. 319