Demokrasia : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d Roboti: Imeondoa: map-bms:Demokrasi (deleted)
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
'''Demokrasia''' (ni neno kutoka lugha ya [[Kigiriki]], ''demokratia'' maana yake ''utawala na watu'') ni aina ya serikali. Kwenye demokrasia,
'''Demokrasia''' (ni neno kutoka lugha ya [[Kigiriki]], ''demokratia'' maana yake ''utawala wa watu'') ni aina ya serikali. Kwenye demokrasia,
watu fulani wa kwenye jumuia wanamchagua kiongozi wao. Kuna njia kede-kede za kufanya hivi, lakini mchakato kamili kikawaida huitwa ''kushikilia [[uchaguzi]]''.
watu fulani wa kwenye jumuia wanamchagua kiongozi wao. Kuna njia nyingi za kufanya hivi, lakini mchakato kamili kikawaida huitwa ''kushikilia [[uchaguzi]]''.


Vyama vya kisiasa] uhusika na masuala ya kisiasa. Yaonekana kwamba yaweza kuwa rahisi kuwa na [[chama cha kisiasa]]. Chama kitakachoshinda uchaguzi watamchagua kiongozi wanayemtaka.
Vyama vya kisiasa] uhusika na masuala ya kisiasa. Yaonekana kwamba yaweza kuwa rahisi kuwa na [[chama cha kisiasa]]. Chama kitakachoshinda uchaguzi watamchagua kiongozi wanayemtaka.

Pitio la 13:40, 27 Juni 2012

Demokrasia (ni neno kutoka lugha ya Kigiriki, demokratia maana yake utawala wa watu) ni aina ya serikali. Kwenye demokrasia, watu fulani wa kwenye jumuia wanamchagua kiongozi wao. Kuna njia nyingi za kufanya hivi, lakini mchakato kamili kikawaida huitwa kushikilia uchaguzi.

Vyama vya kisiasa] uhusika na masuala ya kisiasa. Yaonekana kwamba yaweza kuwa rahisi kuwa na chama cha kisiasa. Chama kitakachoshinda uchaguzi watamchagua kiongozi wanayemtaka.

Kigezo:Link FA