Tofauti kati ya marekesbisho "Thriller"

Jump to navigation Jump to search
28 bytes added ,  miaka 8 iliyopita
d
r2.7.3) (Roboti: Imeongeza et:Thriller (album); cosmetic changes
(Label: makala nzuri sana!)
d (r2.7.3) (Roboti: Imeongeza et:Thriller (album); cosmetic changes)
 
== Athira na urithi wake ==
=== Tasnia ya muziki ===
[[Blender (jarida)|''Blender'']] wanamweleza Jackson kama "mkali wa muziki wa pop kwa karne ya ishirini", wakati ''The New York Times'' wametoa wazo la kwamba alikuwa "mtu wa ajabu kimuziki", na kwa maana hiyo "katika ulimwengu wa pop yeye ni wa kipekee, kuna Michael Jackson na kuna wengineo kibao".<ref name=blender>{{cite web |url=http://www.blender.com/guide/articles.aspx?ID=1777 |title=Michael Jackson, "Billy Jean" |month=October | year=2005 |accessdate=April 11, 2007 |work=Blender}}</ref><ref name=NYTimes>{{cite news | title= Michael Jackson At 25: A Musical Phenomenon | date= January 1984 | publisher= ''The New York
Times'' | url= http://select.nytimes.com/gst/abstract.html?res=F40F10FB3A5C0C778DDDA80894DC484D81 | accessdate= May 15, 2007}}</ref> Jackson amebadilisha tasnia ya muziki jinsi ilivyokuwa ikifanyakazi: vyote akiwa kama msanii binafsi, na kifedha pia, na kifaida kwa ujumla. Mwanasheria wake Bw. John Branca amegundua ya kwamba Jackson amefanikiwa kupata uaminifu wa hali ya juu kwenye tasnia ya muziki kwa maana hiyo: imekadiriwa kuwa $2 kwa kila albamu moja aliyouza. Matokeo yake, Jackson amepata kuvunja-rekodi ya mauzo ya juu kwenye CD, na katika mauzo ya nakala za documentary, ''The Making of Michael Jackson's Thriller'', iliyotayarishwa na Jackson na [[John Landis]]. Documentary hiyo ili-lipiwa na MTV, imeuza nakala zaidi ya 350,000&nbsp;katika miezi yake michache ya mwanzoni. Sokoni halafu ikaja kuendeshwa na ma-single kadhaa, ''Thriller'' iliinua umakini wa maalbamu kadhaa, bado vibao vyake mbalimbali vilichukuliwa kutoka kwenye albamu na kujipatia mafanikio kede wa kede.<ref name=vh1>{{cite web |url=http://www.vh1.com/artists/az/jackson_michael/bio.jhtml |title=Michael Jackson |publisher=VH1 |year= 2007 |accessdate=February 22, 2007}}</ref>
 
=== Muziki wa video na usawa kirangi ===
Kabla ya mafanikio ya ''Thriller'', wengi walihisi kwamba Jackson ametaabika sana kupata kupigiwa nyimbo zake kwenye [[MTV]] kwa sababu alikuwa mtu mweusi.<ref name=autogenerated3>{{cite web |url=http://www.blender.com/guide/articles.aspx?ID=1777 |title=Michael Jackson, "Billy Jean: |accessdate=April 11, 2007 |work=''Blender''}}</ref> Wakati anafanya juhudi za kupata kupigwa nyimbo za Jackson, Rais wa [[Columbia Records|CBS Records]] Bw. [[Walter Yetnikoff]] akawasukuma MTV ili wampigie nyimbo zake na kutangaza, "Sikupi tena video yoyote ile na naenda kusema mbele ya hadhara na kudadadeki zenu na kuwaambia ukweli kwamba hamtaki kupiga nyimbo za washikaji weusi".
 
[[Jamii:Albamu za Michael Jackson]]
 
{{Link FA|tr}}
{{Link FA|en}}
{{Link FA|tr}}
 
[[ar:ثريلر (ألبوم)]]
[[en:Thriller (album)]]
[[es:Thriller (álbum)]]
[[et:Thriller (album)]]
[[fa:تریلر (آلبوم)]]
[[fi:Thriller]]
44,010

edits

Urambazaji