Ponsyo Pilato : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.7.1) (Roboti: Imebadilisha: be-x-old:Понтыюс Пілят
nyongeza kadhaa
Mstari 1: Mstari 1:
[[File:Eccehomo1.jpg|thumb|right|300px|''[[Ecce Homo]]'', mchoro wa [[Antonio Ciseri]] unaoonyesha Ponsyo Pilato alivyomtambulisha Yesu kwa watu wa [[Yerusalemu]] baada ya kumpiga mijeledi]]
[[File:Eccehomo1.jpg|thumb|right|300px|''[[Ecce Homo]]'', mchoro wa [[Antonio Ciseri]] unaoonyesha Ponsyo Pilato alivyomtambulisha Yesu kwa watu wa [[Yerusalemu]] baada ya kumpiga mijeledi]]
'''Ponsyo Pilato''' (kwa [[Kilatini]] ''Pontius Pilatus''; kwa [[Kigiriki]] Πόντιος Πιλᾶτος; kwa [[Kiebrania]] פונטיוס פילאטוס; alikuwa [[liwali]] wa
'''Ponsyo Pilato''' (kwa [[Kilatini]] ''Pontius Pilatus''; kwa [[Kigiriki]] Πόντιος Πιλᾶτος; kwa [[Kiebrania]] פונטיוס פילאטוס; alikuwa [[liwali]] wa [[Dola la Roma|kiroma]] katika [[Palestina]] kwenye miaka [[26]]-[[36]].
[[Palestina]] katika miaka [[26]]-[[36]].


Anajulikana kutoka vyanzo mbalimbali, lakini hasa kwa sababu ya [[Injili]] kumtaja kama [[hakimu]] aliyempeleka [[Yesu]] kuuawa msalabani.
Anajulikana kutoka vyanzo mbalimbali, lakini hasa kwa sababu ya [[Injili]] kumtaja kama [[hakimu]] aliyempeleka [[Yesu]] kuuawa msalabani. Vyanzo vingine ni katika maandiko ya [[Flavius Josephus]], [[Tacitus]] na [[Philo wa Aleksandria]].

Waandishi Wayahudi Josephus na Philo wanamwonyesha kama mtawala mkali asiyeheshimu utamaduni na imani ya wenyeji wa Palestina. Baada ya kutumia unyama katika ukandamizaji wa [[Wasamaria]] aliitwa kurudi Roma na kufika mbele ya Kaisari. Hakuna habari za uhakika kuhusu maisha yake ya baadaye.


[[Kanisa la Ethiopia]] linafuata hadithi ya kwamba aliongoka, hivyo linamheshimu kama [[mtakatifu]].
[[Kanisa la Ethiopia]] linafuata hadithi ya kwamba aliongoka, hivyo linamheshimu kama [[mtakatifu]].

Pitio la 07:22, 19 Juni 2012

Ecce Homo, mchoro wa Antonio Ciseri unaoonyesha Ponsyo Pilato alivyomtambulisha Yesu kwa watu wa Yerusalemu baada ya kumpiga mijeledi

Ponsyo Pilato (kwa Kilatini Pontius Pilatus; kwa Kigiriki Πόντιος Πιλᾶτος; kwa Kiebrania פונטיוס פילאטוס; alikuwa liwali wa kiroma katika Palestina kwenye miaka 26-36.

Anajulikana kutoka vyanzo mbalimbali, lakini hasa kwa sababu ya Injili kumtaja kama hakimu aliyempeleka Yesu kuuawa msalabani. Vyanzo vingine ni katika maandiko ya Flavius Josephus, Tacitus na Philo wa Aleksandria.

Waandishi Wayahudi Josephus na Philo wanamwonyesha kama mtawala mkali asiyeheshimu utamaduni na imani ya wenyeji wa Palestina. Baada ya kutumia unyama katika ukandamizaji wa Wasamaria aliitwa kurudi Roma na kufika mbele ya Kaisari. Hakuna habari za uhakika kuhusu maisha yake ya baadaye.

Kanisa la Ethiopia linafuata hadithi ya kwamba aliongoka, hivyo linamheshimu kama mtakatifu.

Kadiri ya mapokeo mengine, alijiua.