Tofauti kati ya marekesbisho "Papa Alexander VI"

Jump to navigation Jump to search
31 bytes added ,  miaka 10 iliyopita
no edit summary
d (r2.5.4) (Roboti: Imeongeza lv:Aleksandrs VI)
No edit summary
[[Picha:Alexander VI - Pinturicchio detail.jpg|thumb|right|Papa Alexander VI]]
 
'''Papa Alexander VI''' ([[1 Januari]], [[1431]] – [[18 Agosti]], [[1503]]) alikuwa [[papa]] kuanzia [[11 Agosti]], [[1492]] hadi kifo chake. JinaAlimfuata lake[[Papa laInnocent kuzaliwaVIII]] lilikuwaakafuatwa '''Roderic Borgia'''. Alimfuatana [[Papa InnocentPius VIIIIII]].
 
Jina lake la kuzaliwa lilikuwa '''Roderic Borgia'''. Alikuwa papa wa pili kutoka familia ya Borgia. [[Callixtus III]] aliyekuwa Borgia wa kwanza alimsaidia mpwa wake Roderic kupanda ngazi ndani ya kanisa. Kijana asiyekuwa na mafunzo wowote wa kiroho asiyepokea ubarikio wa upadre bado alipewa cheo na mapato ya askofu mara kadhaa katika dayosisi mbalimbali. 1456 alipewa cheo cha kardinali na 1458 akapadrishwa.
 
Alizaa watoto na mke wake wa kando Vannozza dei Cattani akaendelea kuwaangalia na kuwatunza hata alipokuwa papa. Arusi ya binti yake Lucrecia Borgia ilisheherekewa rasmi katika jumba la kipapa la [[Vatikano]].

Urambazaji