Chama cha Wananchi : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: es:Frente Cívico Unido (Tanzania)
d r2.7.3) (Roboti: Imeongeza no:Civic United Front
Mstari 36: Mstari 36:
[[ja:市民統一戦線]]
[[ja:市民統一戦線]]
[[nl:Civic United Front]]
[[nl:Civic United Front]]
[[no:Civic United Front]]
[[sv:Förenade medborgarrörelsen]]
[[sv:Förenade medborgarrörelsen]]

Pitio la 19:29, 13 Juni 2012

Nembo ya Civic United Front

Chama cha Wananchi au Civic United Front (CUF) ni chama cha kisiasa nchini Tanzania. CUF iliwasilishwa rasmi Januari 1993.

CUF ilianzishwa mwaka 1992 kutokana na maungano ya shirika mbili. Hizi zilikuwa

  1. KAMAHURU kikundi cha kupambania demokrasia kwenye visiwa vya Unguja na Pemba
  2. Civic Movement iliyokuwa kundi la kupigania haki za binadamu la Tanzania bara.

Kama ilivyo katika vyama vingine vipya za Tanzania viongozi wengi waliwahi kuwa wanachama wa CCM.

Uongozi

Kura

CUF ilishiriki katika chaguzi za kitaifa pia za Kizanzibari.

Ilifaulu vizuri kwenye visiwa vya Zanzibar hasa Pemba lakini ilibaki hafifu Tanzania bara. Hata hivyo ni chama kikubwa cha upinzani katika bunge la Tanzania chenye wabunge 30 kati ya 324 kwa jumla.

Zanzibar

Katika kura za Zanzibar CUF ilifikia tokeo rasmi la 49.76% mwaka 1994 na 46.07% mwaka 2000. Watazamaji waliona kila kura ilikuwa na kasoro na CUF haikukubali matokeo ikidai ya kwamba serikali ya SMZ ilibadilisha matokeo ya kweli.

Baada ya uchaguzi wa 2005 CUF ina wabunge 19 katika bunge la Zanzibar.

Viungo vya Nje