Kiukwuani-Aboh-Ndoni : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d →‎Viungo vya nje: +Multitree, +ramani using AWB
Mstari 2: Mstari 2:


==Viungo vya nje==
==Viungo vya nje==
*[http://multitree.org/codes/ukw lugha ya Kiukwuani kwenye Multitree]
*[http://llmap.org/languages/ukw.html ramani ya Kiukwuani]
*http://www.ethnologue.org/show_language.asp?code=ukw
*http://www.ethnologue.org/show_language.asp?code=ukw



Pitio la 19:48, 10 Juni 2012

Kiukwuani-Aboh-Ndoni ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waukwuani, Waaboh na Wandoni. Mwaka wa 1973 idadi ya wasemaji wa Kiukwuani-Aboh-Ndoni imehesabiwa kuwa watu 150,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiukwuani-Aboh-Ndoni kiko katika kundi la Kiigboidi.

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiukwuani-Aboh-Ndoni kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.