Kisheni : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Kisheni''' ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Washeni. Mwaka wa 2004 idadi ya wasemaji wa Kisheni ...'
 
d →‎Viungo vya nje: +Multitree, +ramani using AWB
Mstari 2: Mstari 2:


==Viungo vya nje==
==Viungo vya nje==
*[http://multitree.org/codes/scv lugha ya Kisheni kwenye Multitree]
*[http://llmap.org/languages/scv.html ramani ya Kisheni]
*http://www.ethnologue.org/show_language.asp?code=scv
*http://www.ethnologue.org/show_language.asp?code=scv



Pitio la 13:37, 9 Juni 2012

Kisheni ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Washeni. Mwaka wa 2004 idadi ya wasemaji wa Kisheni imehesabiwa kuwa watu sita tu, maana yake lugha imekaribia kutoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisheni kiko katika kundi la Kikainji. Wengine husema kuwa lugha ya Kisheni ni sawasawa na lugha ya Kiziriya.

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisheni kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.