Kilokaa : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.7.2) (Roboti: Imebadilisha: en:Loko language (Nigeria)
d →‎Viungo vya nje: +Multitree, +ramani using AWB
Mstari 2: Mstari 2:


==Viungo vya nje==
==Viungo vya nje==
*[http://multitree.org/codes/yaz lugha ya Kilokaa kwenye Multitree]
*[http://llmap.org/languages/yaz.html ramani ya Kilokaa]
*http://www.ethnologue.org/show_language.asp?code=yaz
*http://www.ethnologue.org/show_language.asp?code=yaz



Pitio la 13:28, 7 Juni 2012

Kilokaa ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Walokaa. Mwaka wa 1989 idadi ya wasemaji wa Kilokaa imehesabiwa kuwa watu 120,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilokaa kiko katika kundi la Cross River.

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilokaa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.